Morogoro: Msanii Afande Sele kujiunga na CHADEMA leo jioni

Morogoro: Msanii Afande Sele kujiunga na CHADEMA leo jioni

labda ile hela alopewa na zitto ili atengeneze video ya ule wimbo unaohusu mambo ya dini ndo imemshawishi kujiunga. karibu sana sele. mia
 
Ļpllllĺlllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllĺlllllllllllllll,
 
Nyie si muna dharau, hata juzi ilipowekwa post hapa "Ally Bananga amerudi ccm" mulikuja mkatukana, ooh yule gamba, ni mchumia tumbo, bahati nzuri akaja mwenyewe hapa kumbe alinukuliwa vibaya facebook. Nyuso zikawashuka.

Nilikuwa chadema tena nimeperform kazi za kiutendaji kbs. Take it or leave it.
Baadae ukafika bei... wenzio kina Shonza wanazichanga kweli yani...
 
nyie si muna dharau, hata juzi ilipowekwa post hapa "ally bananga amerudi ccm" mulikuja mkatukana, ooh yule gamba, ni mchumia tumbo, bahati nzuri akaja mwenyewe hapa kumbe alinukuliwa vibaya facebook. Nyuso zikawashuka.

Nilikuwa chadema tena nimeperform kazi za kiutendaji kbs. Take it or leave it.

sixgates kaka unajua kipindi kile umetoa ultimutum nilijua kabisa kweli ulikuwa mwanachadema na nilisikitika kwa chadema kupoteza mwanachama coz naamini wingi lazima uanze na moja, baada ya kufuatilia comments zako i come to realise that we haukuwa mwanachadema bali ni wa chama cha kijani.
 
Na bado habaki wala kuambukiza ukimwi under 16...

si afadhali huyu JEMBE kuliko lile lizee la magamba lenye ukimwi linaloambukiza maradhi kwa watoto under 18? Pamoja sana kamanda Sele!
 
Afande Sele karibu kwenye chama cha wapambanaji! T2015CDM!
 
Nyie si muna dharau, hata juzi ilipowekwa post hapa "Ally Bananga amerudi ccm" mulikuja mkatukana, ooh yule gamba, ni mchumia tumbo, bahati nzuri akaja mwenyewe hapa kumbe alinukuliwa vibaya facebook. Nyuso zikawashuka.

Nilikuwa chadema tena nimeperform kazi za kiutendaji kbs. Take it or leave it.

NAWACHUKIA SANA WALE WANAOSEMA SINA CHAMA - by ......
 
You are running low kaka .Hii vita hutashida . Are you really a guy with education ? You holding grudges against Chadema of your personal feud with whoever you within Chadema ? Kaka aliondoka Kaburu akiwa na nguvu sana leo yuko wapi ? Chadema si Mbowe wala Slaa unao gombana nao .Chadema ni taasisi na ndiyo maana kuanzia CCM na watu wa aina yako kutwa kucha wanapanga mikakati ya kuia Chadema badala ya kujenga Nchi .Umechoka wewe mapema sana na Chadema movement ndiyo kwanza inapata nguvu .

Why is so hard for u to accept diff views abt chadema? Then you claim to be strong opposition party. No wonder hata ukipewa nafasi ya kulead chadema uta-turn ot kuwa dicteta.

Maneno na sentens za mifano ya watu wengi tumezoea so hainisumbui.
 
Nilishasema kitambo sana kwamba ukiingia cdm hata tbc wataacha mara moja kucheza nyimbo zako , haya matusi yoote ni ishara kwamba afande sele ni Tishio .
 
Mbona yupo siku nyingi huko.
Afande-Sele.jpg

Anajiunga Rasmi..
 
Unajishushia hadhi kaka .Ulikuwa son what ? You have gone kaa kimya .Uliingia mwenyewe kwa malengo yako na hayajatimia umetoka , povu la nini sasa .Acha kumwaga machozi kama umeona haikufai nenda kalime au kazana kutafuta kipato na si kulia lia hapa machozi mapima na mapima .

mkuu chadema itakuuwa kw presha.
 
hongera kamanda , karibu uwanja wa mapambano, ndicho pekee kilicho bakikwa vijana wa karne hii, wacha wafu wa ccm wa wazike wenzao. JUKUMU LA KLA KIJANA MWENYE AKILI TIMAMU KUINDOA CCM POPOTE ALIPO.
 
ccm hakuna tena,future kwa mtu mwenye akili timamu ya kupambanua mambo!maana hata kuuzika kwa wananchi ni tabu sana
 
Kamanda usikurupuke kujibu pumba wapi nimesema hana haki, sikiliza wewe kauzu unapoingia kwenye siasa lazima watu wakujadili umesikia! watu wanamjadili Rais Kikwete sembuse huyu chizi.
Wewe si unamuita chizi?, Ikitokea akafariki utamuona Mh Dr JK amekuwa wa kwanza kuongoza mazishi.
 
Back
Top Bottom