Mzee Wa Sumu
JF-Expert Member
- Apr 17, 2013
- 643
- 68
Mibange kwenda mbele huku sugu prof j afande sele watoe Albam ya cdm sio wawe na sera za kujenga uchumi imara kwa manufaa ya wote zaid vurugu bungeni
Nitampa sapoti kama atakuja kugombea jimbo tarajiwa! teh teh teh!
chanzo cha habari ni kipi?
Msanii Afande Sele leo jioni anatarajiwa kujiunga rasmi na CHADEMA katika mkutano mkubwa utakaofanyika katika kata ya Mafiga na Misufini.
ASANTE SELE KWA IMANI JUU YA WAKOMBOZI CHADEMA.
hao wengi ni akina nani??Afande sele miaka yote yupo chadema. Kama muuza vitumbua, hakuna mnunuzi, kw hiyo ameamua kujiuzia. Chadema imechokwa haraka tofauti na matarajio ya wengi
Chanzo cha habari ni kipi?
Isije ikawa kama yale ya Shinyanga yakashukia MoroMsanii Afande Sele leo jioni anatarajiwa kujiunga rasmi na CHADEMA katika mkutano mkubwa utakaofanyika katika kata ya Mafiga na Misufini.
ASANTE SELE KWA IMANI JUU YA WAKOMBOZI CHADEMA.
Kule milimani watu hawachagui mwenye suti bali aliye-simple na aliyekaribu na vijana, afande anafaa na atakubalika kama atataka kugombea.Watu wa milimani hawachagui mbunge anayevaa suruali KK...
Waulize kina Setembo watakwambia.
MungiUnakubali nyimbo zake halafu unakataa majani mbona hueleweki?
Unajua mistari kama ndo zinaletwa na majani?
Wacha ale majani atupatie mistari ya ukombozi
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Bangi mbaya sana acha akautane na wenzake machalii wa Arusha.CDM ndo kimbilio pekee la wenye haki karibu sana tulete ukombozi wa kweli