BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,767
- 288,337
Sixgates acha wivu wewe si umeondoka, sisi bado tupo na tunaendelea kujiunga kama umechoka ni wewe, uliyejiunga chadema bila malengo.. Ulidhani tunagawa ubwabwa huku, huku ni kazi tu mzee.. wewe kajiunga na akila Stela mwampamba Lumumba.. ufanya kazi ya kuwakatisha tamaa watanzania wanatafuta mabadiliko..
Huyu jamaa mpenda ubwabwa ni zezeta sana, hana cha maana anachoandika zaidi ya kujaza pumba.