LILENDI
JF-Expert Member
- Oct 27, 2013
- 1,400
- 497
Ondoa tabia za ki facebook hapa .Hata hujajua ku like una hoji au ndiyo simu zenu zile mlizopewana maelekezo ya kuvamia JF ?
wacha mi nijitolee kumwelekeza M2Flan namna ya ku -like. M2Flan ikitaka ku like unabonyeza kwenye kitufe chenye "like" chini ya post husika.....sawa enhe! teh, teh, teh, teh