yo! Yo!! Aanhh!!!!!
Afande sele, kwanza saluti
karibu kwenye chama,imara zaidi ya kuti
karibu chamani, ambako mafisadi huwakuti,
chama cha wazalendo wa vitendo na harakati,
kuinusuru nchi,pamoja tupange mikakati,,
ila kua makini, kumbuka kuna wengi wafitini,,
wapo bungeni tangu miaka ya sabini,
ila wanachofanya ni ufisadi na ubakaji,!!
Oyooooo!!! Karibu sana kwenye huu msafara,,
tuko na sir GOD daima zetu sala,
hatushabikii makafara,
kama wabunge wa ccm,
tumeanza na Mungu na sio miungu,,
tunatoa matongo na ukungu,
kwa wazawa wa hii nchi,
waliopotezwa na ccm,
ccm hata wakifa,naomba mwenyezi asiwarehem,
awapeleke jehanam,,