Morogoro: Msanii Afande Sele kujiunga na CHADEMA leo jioni

Morogoro: Msanii Afande Sele kujiunga na CHADEMA leo jioni

Huyu jamaa isingekuwa yale majani...ni mtu mtu muelewa, nadhani ndio maana hata mziki wake kwa maana ya mistari huwezi linganisha na wasanii wa kileo zaidi.. Naikumbuka ile mkuki moyoni, darubini kali, kuna huu wa sasa dini zimeletwa tu.. Lazima aache yale majani na ajifunze kusoma siasa za kitanzania kwa undani zaidi. Kila lakheri zake
 
Akae akijua kwamba cdm ina maadui wengi sana , hivyo asishangae kuona nyimbo zake zikipigwa marufuku na RUGE kuchezwa clouds fm .
 
Chanzo cha hii habari ni nini, kama ni kweli, tunamkaribisha aongeze nguvu kuelekea ukombozi wa kweli wa taifa letu..
 
Hakuna mtu anaeshangaa kwa afande sele kuwa chadema. Yeye ni mfano wa vijana waliopo chadema. Na sishangai atapewa nafasi ya kugombea ubunge.
 
Hahahahahahahahahaha

Haya ndio mambo ya kujiuzia vitumbua.

Cc sixgates Matola

Naikumbuka theory yako ya "kujiuzia vitumbua" sasa toka lin afande sele hakuwahi kuwa chadema?? Ni chadema siku zote na ndio aina ya vijana waliopo chadema.
 
Last edited by a moderator:
Atakua Naibu Katibu Mkuu baadae,Sugu atakua Katibu mkuu wa chadema! Viva chadema
 
Chanzo cha hii habari ni nini, kama ni kweli, tunamkaribisha aongeze nguvu kuelekea ukombozi wa kweli wa taifa letu..

Afande sele miaka yote yupo chadema. Kama muuza vitumbua, hakuna mnunuzi, kw hiyo ameamua kujiuzia. Chadema imechokwa haraka tofauti na matarajio ya wengi
 
Hakuna mtu anaeshangaa kwa afande sele kuwa chadema. Yeye ni mfano wa vijana waliopo chadema. Na sishangai atapewa nafasi ya kugombea ubunge.

Yep Yap! Anahitajika sana pale mjengoni akamsaidie Mr Sugu kuweka nidhamu stahiki
 
Yep Yap! Anahitajika sana pale mjengoni akamsaidie Mr Sugu kuweka nidhamu stahiki

Duh, hivi sugu sikuiz yupo wapi? Ninayo clips ile ambayo anatolewa nje ya bunge na police.. Scene iliyonifurahisha ni pale police walipokuwa wamembeba, walivyofika katika lango la kutokea ile milango ilivyofunguliwa tu, akatupwa nje ya ukumbi kam taka. Dah polisi walimfanyia unyambisi.
 
Afande sele miaka yote yupo chadema. Kama muuza vitumbua, hakuna mnunuzi, kw hiyo ameamua kujiuzia. Chadema imechokwa haraka tofauti na matarajio ya wengi

Sixgates acha wivu wewe si umeondoka, sisi bado tupo na tunaendelea kujiunga kama umechoka ni wewe, uliyejiunga chadema bila malengo.. Ulidhani tunagawa ubwabwa huku, huku ni kazi tu mzee.. wewe kajiunga na akila Stela mwampamba Lumumba.. ufanya kazi ya kuwakatisha tamaa watanzania wanatafuta mabadiliko..
 
Huyu jamaa isingekuwa yale majani...ni mtu mtu muelewa, nadhani ndio maana hata mziki wake kwa maana ya mistari huwezi linganisha na wasanii wa kileo zaidi.. Naikumbuka ile mkuki moyoni, darubini kali, kuna huu wa sasa dini zimeletwa tu.. Lazima aache yale majani na ajifunze kusoma siasa za kitanzania kwa undani zaidi. Kila lakheri zake

Unakubali nyimbo zake halafu unakataa majani mbona hueleweki?
Unajua mistari kama ndo zinaletwa na majani?
Wacha ale majani atupatie mistari ya ukombozi

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Yep Yap! Anahitajika sana pale mjengoni akamsaidie Mr Sugu kuweka nidhamu stahiki

eyoooooo sugu na afande sele, wanacheza kama Pele, chadema ful iko mbele, bunge litageuka disco kwa yao misele, spika wa bunge ataacha kelele, kiherehere, eyoooooo viva milele

sitaki kuamini but God forbid!!
 
Back
Top Bottom