Morogoro: Msanii Afande Sele kujiunga na CHADEMA leo jioni

Morogoro: Msanii Afande Sele kujiunga na CHADEMA leo jioni

Akae akijua kwamba cdm ina maadui wengi sana , hivyo asishangae kuona nyimbo zake zikipigwa marufuku na RUGE kuchezwa clouds fm .

Aaa Ruge Kafulia sasa hivi. Lady Jadee kamnyea alikuwa analeta Unyampara. Times FM na East Africa ndo Mpango mzima. Songa Mbele Afande.
 
Kinachotakiwa ni utu na uzalendo, sio CV.
Hao wenye CV hadi ni maprofesa mbona sasa hawalisaidii taifa badala yake wanabaka vibinti?

Sijui hata km unaelewa unachokiongea. Una ushahid kuwa wamebakwa? Lete ushahid. Otherwise hizi ni porojo tuu
 
Kiukweli kumtoa Abood bus service pale Moro Nitatembea uchi siku 3 mfululizo.
 
Huyu ndio mgombea ubunge mtarajiwa kupitia tiketi ya chadema

Pipoooz!
afande_sele4.jpg

Bora huyu kuliko yule wenu alhaji anayegegeda vitoto na kuviunganisha gridi ya taifa
 
Ccm waoga sana.huyu mtu morogoro ni hatari na anapendwa sana.muambieni aboud ajiandae kisaikolojia
 
Huyu kwangu ni kichaa kabisa na ukichaa aliobesha hadharani kwa kuvua nguo.
 
Mbona wabunge wa CCM huwa wanavua nguo bungeni?, au wewe unafikiri mpaka ufungue mkanda?
Yule mbunge aliyetumia "The F word" bungeni sio kuvua nguo?

unatumika vibaya hujielewi. Msalimie sugu, mzee wa kugawa tigo na majumba dubai
 
lema ameshughulikiwa na midume hadi akaamua kugawa picha akikatika
Teh teh teh, siku ya leo nimeshinda nimenuna ila hii nimecheka sana,
Alikuwa anagawa picha huku akikatika!?, walifungulia mziki kwenye mkutano?
 
Back
Top Bottom