Mkuu ni kuwa tumejua kwa kuchelewa kidogo ila kwa sasa wakae vizuri, heshima watapata kwa matendo yao sio "kiongozi wa dini" basi ndio iwe kama neno la Mungu!!!!
Wapo baadhi wa hovyo tu miongoni mwao!!!!
Uongozi bora hauna uhusiano wa kuwa na nywele au kuwa kipara!! Inasikitisha UKIONA WATU TUNAOWATEGEMEA KUWA VIONGOZI WA KONDOO WA MUNGU WANAGEUKA KUWA CHUI na kweli kwa wakati tulionao heshima yao watapata kwa matendo yao na wala si kwa majoho wanayovaa!!