Mokiwa: Hatutaongozwa na wanyoa vipara

Mokiwa: Hatutaongozwa na wanyoa vipara

Huwezi kutenganisha MOKIWA na Dhehebu la ANGLIKANA na huwezi kutenganisha Anglikana na USHOGA, Masharti ya CHADEMA kupewa misaada ni sera ya USHOGA, kuna nini nyuma ya pazia kufuatia kauli ya MOKIWA?

Mashoga wapo ukanda wa Pwani!
 
January-Makamba.jpg

Ndio huyu asietakiwa!
 
Akizungumzia sakata la kuibuka kwa watu wanaojitangaza kuwania urais, Askofu mstaafu ndugu Valentine Mokiwa amesema kuwa nchi ya Tanzania bado ni changa sana hivyo haipaswi kuongozwa na wanyoa 'unga' maarufu kama 'vipara'.

"Nchi yetu bado ni changa sana hivyo sii busara kuongozwa na wanyoa 'unga'.Tunahitaji damu iliyokomaa kutuongoza". Alisema Mokiwa huku akionekana dhahiri kumlenga mmoja wa watu ambaye ametangaza nia ya kuwania urais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania hivi karibuni kupitia kituo kimoja maarufu duniani cha runinga ya idhaa ya Kiswahili.
Hatutarajii kiongozi mkubwa wa dini kama huyu (hata kama amestaafu) kutoa kauli kwa mtindo huu. Kwani vipara vinanyolewa na wale tu ambao damn zao hazijakomaa? Je kukomaa kwa damu kunategemea nini? Angeweza kufikisga ujumbe aliotaka kwa lugha sahihi, siyo hii ya 'kiuni'.
 
KANISA LA ANGLIKANI HALINA UHUSIANO WA MOJA KWA MOJA NA MASUALA YA USHOGA,NALO LIMEGAWANYIKA KUHUSU ISSUE YA USHOGA MPAKA KUFIKIA KUNA BAADHI YA MAKANISA KULE WEST AFRIKA YALIaMUA KUJIENGUa NAO KUtOKANa ISSUE YA USHOGA KWa Hiyo tuSIMShutUMU sana asKOFU MOKIWa KWa statEMENT ZAKE.YEYE NI BINADAMU NA SIO MTUME.
 
kama kakobe Vile
Mpeni Mungu yaliyo ya Mungu na kaisari yaliyo ya Kaisari.
asije umbuka tu december 2015

Akizungumzia sakata la kuibuka kwa watu wanaojitangaza kuwania urais, Askofu mstaafu ndugu Valentine Mokiwa amesema kuwa nchi ya Tanzania bado ni changa sana hivyo haipaswi kuongozwa na wanyoa 'unga' maarufu kama 'vipara'.

"Nchi yetu bado ni changa sana hivyo sii busara kuongozwa na wanyoa 'unga'.Tunahitaji damu iliyokomaa kutuongoza". Alisema Mokiwa huku akionekana dhahiri kumlenga mmoja wa watu ambaye ametangaza nia ya kuwania urais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania hivi karibuni kupitia kituo kimoja maarufu duniani cha runinga ya idhaa ya Kiswahili.
 
Mokiwa aache kanisa aje kwenye siasa, ni aibu kwa askofu na taasisi kubwa anayoingoza kuwa na analysis kama hii. Hivi kuna mahusiano gani kati ya kunyoa na uongozi? Mbona Jacob Juma ananyoa kipara na anaongoza nchi
  • Mbona watu wenye nywele wameghubikwa na ufisadi wa richmond, iptl n.k
  • Sasa akili kuwa ubaguzi na unyanyasaji umeanzia kanisani kwake

Ndio maana Jacob Zuma anajua kuoa tu.
 
Akizungumzia sakata la kuibuka kwa watu wanaojitangaza kuwania urais, Askofu mstaafu ndugu Valentine Mokiwa amesema kuwa nchi ya Tanzania bado ni changa sana hivyo haipaswi kuongozwa na wanyoa 'unga' maarufu kama 'vipara'.

"Nchi yetu bado ni changa sana hivyo sii busara kuongozwa na wanyoa 'unga'.Tunahitaji damu iliyokomaa kutuongoza". Alisema Mokiwa huku akionekana dhahiri kumlenga mmoja wa watu ambaye ametangaza nia ya kuwania urais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania hivi karibuni kupitia kituo kimoja maarufu duniani cha runinga ya idhaa ya Kiswahili.

Common sense ni adimu sana kwa wengi, kwa nafasi yake kama kiongozi wa kiroho anapaswa kutoa angalizo lakijinga kama hilo? Mimi sikubaliani na JM kwa vigezo vingi lakini si style yake ya mavazi, onekano na ujana wake! ... Najiuliza tu; what is statement kama hiyo angeitoa kiongozi wa Kiislam kwa kiongozi kijana mwenye imani tofauti na yake ingekuwaje... Ni vema viongozi wa dini wakatuachia sisi tuchambue kwa kina kiongozi atakae tufaa !... Wao waliwahi kutuambia kuna chaguo la Mungu na sisi tukawasikiliza! sasa watuachie na sisi tumsikilizie mungu atuongoze kimya kimya ...
 
sawa mkuu nimekuelewa wewe una akili nyingi, je unaweza kutueleza JK Nyerere alikabidhiwa nchi hii ikiwa changa wakati ana umri gani?

Mkuu Matola,
With all due respect naomba kupingana na wewe katika hili.
Yule Kijana JK Nyerere wa wakati ule anakabidhiwa hii nchi hauwezi kumfananisha na Mhuni na Kilaza kama Makamba Jr kwa kila nyanja.
Kuanzia uadilifu,uzalendo,akili na kila kitu.
Huyu mwizi wa NECTA Galanos hauwezi kumfananisha na Nyerere wa kipindi kile.
Mkuu ni wewe kweli wa kumfananisha huyu limbukeni aliyempeleka mkewe kuzalia USA kwa kodi zetu eti ili tu mwanae aukwae uraia wa kule na kuachwa kwenye msafara wa Rais kisa mademu USA ?
This cant be you,kuna mtu atakuwa ame temper na ID yako,sio bure
 
Mkuu hata mimi nimeshangaa kama ni Matola ninayemfahamu hapa Jukwaani anaweza mlinganisha kijana Julius Nyerere na January Makamba hata hawa wengine wanaoitwa wanasiasa vijana. Huyu aliye kuwa anamkuwadia mademu Boss wake na kuandik a Vimemo kwa Walanguzi wa mjini wapate Tenda mbalimbali kwa jina la Ikulu??
 
juzi tulikuwa harambee kuchangia ununuzi wa gari ya paroko, niliwaeleza wazi natoa pesa yangu lakini gari ni lazima ubavuni iandikwe kwa maandishi makubwa kwamba gari hii ni ya parokia gani ili itambulike, mwenye magendo yake akodi tax ndio aende night club na guest house.

mokiwa hana akili na ndio maana waanglicana wamempiga chini uaskofu mkuu, jacob zuma ananyowa kipara na wasouth wamemwamini, hivi kama msomi wa level ya phd kama mokiwa anakuja na reasoning za kitoto namna hii bora mwanangu nimpeleke veta tu akapate ujuzi. tuna ombwe la wasomi wasioelimika Tanzania.

Mokiwa anajua anachokisema. Januari ni muuza Sembe
 
Common sense ni adimu sana kwa wengi, kwa nafasi yake kama kiongozi wa kiroho anapaswa kutoa angalizo lakijinga kama hilo? Mimi sikubaliani na JM kwa vigezo vingi lakini si style yake ya mavazi, onekano na ujana wake! ... Najiuliza tu; what is statement kama hiyo angeitoa kiongozi wa Kiislam kwa kiongozi kijana mwenye imani tofauti na yake ingekuwaje... Ni vema viongozi wa dini wakatuachia sisi tuchambue kwa kina kiongozi atakae tufaa !... Wao waliwahi kutuambia kuna chaguo la Mungu na sisi tukawasikiliza! sasa watuachie na sisi tumsikilizie mungu atuongoze kimya kimya ...

Mkuu unaposema watuachie sisi, sijui una maana wakina nani. Je viongozi wa dini wao sio raia wa hii nchi? Nadhani nao wana haki ya kutoa maoni yao, kuhusu mustakabali wa maswala ya siasa ya nchi yao. Kwenye bunge la maalum la katiba tulielezwa kwamba mheshimiwa mkulu alitumia haki yake kama raia kutoa mawazo yake ambayo yalikuwa kinyume na rasimu ya tume alioiunda, mwnyewe na rasimu alioipitisha mwenyewe. Mkuu tuwaache nao watoe mawazo yao, kama hukubaliani na mawazo yao yapinge kwa hoja, lakini tusiwafunge midomo.
 
Akizungumzia sakata la kuibuka kwa watu wanaojitangaza kuwania urais, Askofu mstaafu ndugu Valentine Mokiwa amesema kuwa nchi ya Tanzania bado ni changa sana hivyo haipaswi kuongozwa na wanyoa 'unga' maarufu kama 'vipara'.

"Nchi yetu bado ni changa sana hivyo sii busara kuongozwa na wanyoa 'unga'.Tunahitaji damu iliyokomaa kutuongoza". Alisema Mokiwa huku akionekana dhahiri kumlenga mmoja wa watu ambaye ametangaza nia ya kuwania urais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania hivi karibuni kupitia kituo kimoja maarufu duniani cha runinga ya idhaa ya Kiswahili.

- Hayamuhusu ya Urais wameshindwa ya Flora Mbasha sasa anataka kuingilia ya siasa kutaka kutafuta ulaji tu hayamuhusu!1

Le Mutuz
 
Fasheni inaonyesha ulivyo. Kama ni mzungu wa unga aitwe nani? Nchi haiwezi kuongozwa na wauza unga
 
Akizungumzia sakata la kuibuka kwa watu wanaojitangaza kuwania urais, Askofu mstaafu ndugu Valentine Mokiwa amesema kuwa nchi ya Tanzania bado ni changa sana hivyo haipaswi kuongozwa na wanyoa 'unga' maarufu kama 'vipara'.

"Nchi yetu bado ni changa sana hivyo sii busara kuongozwa na wanyoa 'unga'.Tunahitaji damu iliyokomaa kutuongoza". Alisema Mokiwa huku akionekana dhahiri kumlenga mmoja wa watu ambaye ametangaza nia ya kuwania urais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania hivi karibuni kupitia kituo kimoja maarufu duniani cha runinga ya idhaa ya Kiswahili.

Hutu atakuwa mganga njaa vipara vina mahusiano gani na uwajibikaji wa MTU!!!!
 
Back
Top Bottom