Tume ya Katiba
JF-Expert Member
- Apr 6, 2012
- 4,896
- 1,866
Mokiwa yupo sahihi, sema utata unakuja kwamba yeye ni mfuasi na mpiga kampeni wa Lowasa, isije kuwa kauli hiyo haitokani na maono mema isipokuwa anamsemea White Hair...
Wataalam wa kiswahili jitokezeni mtusaidie akina Matola watatutoa roho! Je, katika tungo hiyo askofu alimaanisha hivyo anavotuhumiwa?askofu wako ndio amekurupa shika adabu yako, mokiwa ni muhuni tu sawa na wahuni wengine ndio maana kanisa la Anglican wamemuweka pembeni si askofu mkuu tena.
Wataalam wa kiswahili jitokezeni mtusaidie akina Matola watatutoa roho! Je, katika tungo hiyo askofu alimaanisha hivyo anavotuhumiwa?
Tukipeni nafasi kiswahili wakuu, tusikurupuke kumtukana askofu kumbe alimaanisha zaidi ya mnyoo!!
Huwezi kutenganisha MOKIWA na Dhehebu la ANGLIKANA na huwezi kutenganisha Anglikana na USHOGA, Masharti ya CHADEMA kupewa misaada ni sera ya USHOGA, kuna nini nyuma ya pazia kufuatia kauli ya MOKIWA?
aliyesema jk ni chaguo la mungu ni askofu kilain na si mokiwa na ni chanzo cha kuhamishiwa bukoba toka makao makuu dar na pengohuyu askofu alituaminisha kuwa jk ni chaguo la mungu , aombe kwanza radhi ndio asikilizwe ....
Akizungumzia sakata la kuibuka kwa watu wanaojitangaza kuwania urais, Askofu mstaafu ndugu Valentine Mokiwa amesema kuwa nchi ya Tanzania bado ni changa sana hivyo haipaswi kuongozwa na wanyoa 'unga' maarufu kama 'vipara'.
"Nchi yetu bado ni changa sana hivyo sii busara kuongozwa na wanyoa 'unga'.Tunahitaji damu iliyokomaa kutuongoza". Alisema Mokiwa huku akionekana dhahiri kumlenga mmoja wa watu ambaye ametangaza nia ya kuwania urais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania hivi karibuni kupitia kituo kimoja maarufu duniani cha runinga ya idhaa ya Kiswahili.
na kazi ya kichwa siyo kufuga nywele. ila wazembe wasidhani hapa namtetea January makamba lah hasha ni heri nikawe mkimbizi kuliko kutawaliwa na wahuni kama hawa kina makamba.
jeshi letu wakubwa jeshi wameridhika basi kila mtu anadhani anaweza kuwa command inchief, hii nchi ilipaswa kuwa chini ya jeshi kwa angalau miaka mitano ijayo ili tutengeneze katiba ya wananchi kwanza.
Kasema hivyo Mokiwa...!!Labda nimepitwa na wakati: kunyoa unga ndiyo kunyoa upara? Mokiwa anaweza kuifahamu hiyo lugha ya mitaani kuliko sisi wa mitaani? I doubt kama askofu Mokiwa katamka hiyo kwani hamna ushahidi wowote. Pia hakuna mchangiaji hata mmoja aliyesema kamsikia Mokiwa akiongea hayo maneno ya ajabu. Naamini mleta mada katunga tu haya maneno nasi tunachangia bila kujua.
Chapombe utamjua tu
unaongea nini wewe mburula, ina maana wanyoa vipara na viduku walipoifikisha nchi hii? acha kuropoka bure, kama hujui jambo ni bora ukakaa kimya kuliko kutetea ujinga!
Kasema hivyo Mokiwa...!!
juzi tulikuwa harambee kuchangia ununuzi wa gari ya paroko, niliwaeleza wazi natoa pesa yangu lakini gari ni lazima ubavuni iandikwe kwa maandishi makubwa kwamba gari hii ni ya parokia gani ili itambulike, mwenye magendo yake akodi tax ndio aende night club na guest house.
mokiwa hana akili na ndio maana waanglicana wamempiga chini uaskofu mkuu, jacob zuma ananyowa kipara na wasouth wamemwamini, hivi kama msomi wa level ya phd kama mokiwa anakuja na reasoning za kitoto namna hii bora mwanangu nimpeleke veta tu akapate ujuzi. tuna ombwe la wasomi wasioelimika Tanzania.