G Sam
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 12,427
- 39,613
- Thread starter
- #101
Wakuu, Mokiwa kaongea ukweli kuhusu huyu kijana Makamba(regardless kwamba kuna anayepigiwa chapuo na Mokiwa mwenyewe) Makamba ana jipya gani zaidi ya kubebwa na Kikwete? Imagine anaota ndoto za urais!!! Hivi kweli? Kuna hoja ya msingi ya kumpeleka ikulu? hata mimi nasema siko tayari kuongozwa na wanyoa 'unga'
