Mokiwa: Hatutaongozwa na wanyoa vipara

Mokiwa: Hatutaongozwa na wanyoa vipara

January-Makamba.jpg
...Askofu kasema ukweli,mie nashangaa watu kama awa akina January wanakotoa haya maneno makubwa!ni haki yake but anatakiwa kuwa makini sana maana nina amina hana busara ya urais kwa wakati huu,bado njuka...kukaa pale ikulu then ubunge then unaibu waziri eti mtu anajiona RAIS!!,hajatuonyesha kwa jinsi gani anapenda taifa hili.....bado na achane na ndoto hizo kabisa maana muziki huo hauwezi.
 
Mkuu Matola,
Kwa lugha ya sanaa,Askofu hakumaanisha tu Kunyoa kipara kama style.
Tamko lake lina maana pana zaid ya hivyo,kama vile hatuwezi kuwa na Rais mhuni na Blazamen,Sharo,nyangema ambaye aliachwa kwenye msafara wa Rais Marekani kwa sababu ya wanawake,Mtu ambaye kampeleka mkewe kujifungulia USA kwa kodi zetu for the sake ya mtoto wake kuwa na uraia wa states.
Hatuwezi kuwapa nchi wahuni.

nyerere hakuwa na sifa ya kupindisha maneno, alitamka wazi wahuni kama John malecela kamwe hawawezi kukabidhiwa nchi.
 
Askofu alikuwa na maana ya mbali zaidi ya hii, ametumia "Wanyoa Unga" kama kiwakilishi tu katika fasihi.

U are right, ishu ya kunyoa kipara ni lugha ya picha tu lkn sio kunyoa kama shaving, he didint use literal meaning but a metaphor

Cc: Matola
 
Last edited by a moderator:
nyerere hakuwa na sifa ya kupindisha maneno, alitamka wazi wahuni kama John malecela kamwe hawawezi kukabidhiwa nchi.

Mkuu Matola,

Kama issue ni Mokiwa kumung'unya maneno,you are right.
Sasa tukija kwenye point ya Msingi.
Huyu mhuni hafai kuwa hata Balozi wa nyumba kumi.
Amshukuru sana JK kwa majina ya miungu wake wote kwa kumbeba mpaka alipofikia,hana sifa yoyotee ya kuwa alipo zaid ya kubebwa na System.
Nadiriki kusema huyu ni mtu wa hovyo na kilaza kupata kutokea kwenye Cabinet ya tokea Nyerere mpaka JK.
Naungana na wewe,no bora nikawe mkimbizi Somalia kuliko kuwa Chini ya Rais kama huyu kilaza mwivi wa mtihani wa kidato cha sita.
 
Mokiwa nae aache kauli za kihuni.!!
 
Mokiwa aache kanisa aje kwenye siasa, ni aibu kwa askofu na taasisi kubwa anayoingoza kuwa na analysis kama hii. Hivi kuna mahusiano gani kati ya kunyoa na uongozi? Mbona Jacob Juma ananyoa kipara na anaongoza nchi
  • Mbona watu wenye nywele wameghubikwa na ufisadi wa richmond, iptl n.k
  • Sasa akili kuwa ubaguzi na unyanyasaji umeanzia kanisani kwake
Wengine wana nywele mpaka zimekuwa nyeupe lakini wezi tu.

Ila huyo dogo january nae aache upuuzi. aache mapepe kama ndama!!:llama:
 
Kichwa cha Mokiwa ni sawa na Kitalu cha kukuzia/kuoteshea Nywele hakina jukumu lingine lolote, kama PHD Holder anataka tuchague Rais kwa Wingi wa Nywele zake basi Taifa limefikia Point of No Return.
 
juzi tulikuwa harambee kuchangia ununuzi wa gari ya paroko, niliwaeleza wazi natoa pesa yangu lakini gari ni lazima ubavuni iandikwe kwa maandishi makubwa kwamba gari hii ni ya parokia gani ili itambulike, mwenye magendo yake akodi tax ndio aende night club na guest house.

mokiwa hana akili na ndio maana waanglicana wamempiga chini uaskofu mkuu, jacob zuma ananyowa kipara na wasouth wamemwamini, hivi kama msomi wa level ya phd kama mokiwa anakuja na reasoning za kitoto namna hii bora mwanangu nimpeleke veta tu akapate ujuzi. tuna ombwe la wasomi wasioelimika Tanzania.

Kama dakika tano au kumi haitoshi kuelewa, ni vizuri ukatumia hata masaa kutafakari ndipo uchangine. Kuto kuelewa kwako kunaonyesha jinsi gani Askofu ametumia falsafa kuwakilisha ujumbe aliolenga. Ujumbe uko wazi Tanzania bado changa "tunahitaji damu iliyokomaa kutuongoza" ametumia wanyoa unga/upara kama kitambulisho cha mtu anaemlenga badala ya jina. Bila kuangalia Askofu alishawahi kusema nini au kufanya kosa gani alichokisema kwa 100% yuko sahihi kuwa J. Makamba ni mchanga kiuongozi tunahitaji mtu aliyekomaa kiuongozi . Ieleweke kuwa Askofu ametumia kipara kama jina sio tabia.
 
sawa mkuu nimekuelewa wewe una akili nyingi, je unaweza kutueleza JK Nyerere alikabidhiwa nchi hii ikiwa changa wakati ana umri gani?
 
Huyu Askofu alituaminisha kuwa JK ni chaguo la Mungu , aombe kwanza radhi ndio asikilizwe ....

Mkuu si kweli aliye ropoka kuwa Jk ni chaguo la Mungu ni Askofu Kilaini, Mokiwa huwa yuko clear sana katika kauli zake. Japo si vyema wao kama viongozi wa dini kuropoka ropoka kuwa nani anafaa kuwa rais. Kama Mungu wao amewaotesha basi wampe uaskofu si urais wa nchi. TANZANIA HAINA DINI, KUTUAMINISHA KWAMBA KILA ANACHOKISEMA KIONGOZI WA DINI NDICHO TUFUATE, TUTARUDIA YALE YALE YA 2005. Acheni Watanzania wachague wenyewe.
 
Point of correction, Mokiwa haongozi kanisa lolote kwa sasa na tamko lake lisichukuliwe kama ni tamko la kanisa. Mokiwa aliisha staafu kuongoza kanisa. Na hata hivyo tamko lake lilimlenga individual sio wanyoa vipara wote!!!!! Tusitafsiri vibaya tamko lake.

Tiba

Mokiwa si askofu mkuu wa kanisa la Anglikana bali amebaki kuwa askofu wa jimbo la Dar es salaam.
 
January Makamba atabaki kua Raisi wa Bumbuli tu and that's all!
 
Kichwa cha Mokiwa ni sawa na Kitalu cha kukuzia/kuoteshea Nywele hakina jukumu lingine lolote, kama PHD Holder anataka tuchague Rais kwa Wingi wa Nywele zake basi Taifa limefikia Point of No Return.

Au mimi nimemuelewa tofauti bibie.
 
sawa mkuu nimekuelewa wewe una akili nyingi, je unaweza kutueleza JK Nyerere alikabidhiwa nchi hii ikiwa changa wakati ana umri gani?

Mkuu umri kwa maana ya miaka ya kuzaliwa si kigezo cha kuwa kiongozi, sikumaanisha hivyo pia sifikiri kama Askofu alimaanisha umri kama miaka ya kuzaliwa. Kuwa kiongozi mnzuri huhitaji kuwa na miaka 70. Umri au kukomaa kunakomaanishwa ni uongozi. Kwa kifupi katika level yeyote ile kiongozi mzuri hata kama balozi wa kijiji au kiranja wa darasa ata demonstrate elements za uongozi. Mfano; JK Nyerere akiwa bado mdogo mfano alipokuwa Tabora boys alifanya jambo ambalo bila shaka kwa mtu makini alijua kuwa alikuwa kiongozi.Hata hivyo sikumaanisha kuwa mimi nina akili nyingi, nilikuwa namaanisha tujadili mada kwa mapana kwa manufaa ya nchi yetu.
 
Aaaanh ndio nini sasa askofu mzima kujenga hoja juu ta unyoaji????

unaongea nini wewe mburula, ina maana hujui wanyoa vipara na viduku walipoifikisha nchi hii? acha kuropoka bure, kama hujui jambo ni bora ukakaa kimya kuliko kutetea ujinga!
JK.jpg
 
Back
Top Bottom