Hivi wewe kwa akili zako unafikiri kuna Mtanzania anayewaamini kwamba Mbowe ni Gaidi....
Acheni mambo ya kutesa watanzania wenzenu bana kisa madaraka.
Kwani gaidi ni mtu wa namna gani. Mtu yeyote (icluding Mbowe) anaweza kuwa gaidi. Kwa hiyo mimi ninaamini Mbowe anaweza kuwa gaidi. Mbona kila siku anaenda kupeleka bakuli Uarabuni na Ulaya na kutoa ahadi anazojuwa fika hawezi kuzitekeleza!Hivi wewe kwa akili zako unafikiri kuna Mtanzania anayewaamini kwamba Mbowe ni Gaidi....
Acheni mambo ya kutesa watanzania wenzenu bana kisa madaraka.
Msajili anaipenda CCM mpaka anajipa kazi isiyomhusu.Msajili wa vyama vya siasa amemtaka Katibu mkuu wa CHADEMA J J Mnyika kujieleza kufuatia kauli yake kuwa katika mahojiano ya BBC Rais Samia alisema uongo.
Msajili amesema lugha hiyo dhidi ya Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania ni kinyume kabisa cha maadili.
Mnyika ameandika katika ukurasa wake wa twitter.
Mungu ni mwema wakati wote!
Pia soma: John Mnyika: Rais Samia "aidha amepotoshwa au ameamua kusema uongo”
Unafikiri kwa kutumia nini?Kwani gaidi ni mtu wa namna gani. Mtu yeyote (icluding Mbowe) anaweza kuwa gaidi. Kwa hiyo mimi ninaamini Mbowe anaweza kuwa gaidi. Mbona kila siku anaenda kupeleka bakuli Uarabuni na Ulaya na kutoa ahadi anazojuwa fika hawezi kuzitekeleza!
Mlalamikaji ni Mutungi au ni mwongo mwenyewe ?Msajili wa vyama vya siasa amemtaka Katibu mkuu wa CHADEMA J J Mnyika kujieleza kufuatia kauli yake kuwa katika mahojiano ya BBC Rais Samia alisema uongo.
Msajili amesema lugha hiyo dhidi ya Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania ni kinyume kabisa cha maadili.
Mnyika ameandika katika ukurasa wake wa twitter.
Mungu ni mwema wakati wote!
Pia soma: John Mnyika: Rais Samia "aidha amepotoshwa au ameamua kusema uongo”
Pia amini bi lembua anaweza kuwa gaidi, kama alivyowaachia magaidi akina faridKwani gaidi ni mtu wa namna gani. Mtu yeyote (icluding Mbowe) anaweza kuwa gaidi. Kwa hiyo mimi ninaamini Mbowe anaweza kuwa gaidi. Mbona kila siku anaenda kupeleka bakuli Uarabuni na Ulaya na kutoa ahadi anazojuwa fika hawezi kuzitekeleza!
Nina viwanja zaidi ya 10 huko, maana ardhi ndiyo taaluma yangu! May be tubet viwanja mimi na wewe kwenye hii kesi! Hamna kesi ambayo imewahi kurushwa live so Mbowe hana uspesho wowote hadi kesi yake iwe ya kwanza kurushwa live! Usiwe muoga wa polisi, leo nenda Kisutu kasikilize kesi uso kwa uso kamanda, ukampe mkono wa pole Bwana Ustaadhi pia (Ukiacha hizo harakati zake za kisiasa na mambo mengine mengine jamaa ni kichwa, very interesting person), ni haki yenu kisheria, ila ukibeba hayo mabango yenu ya matusi watakuvunja miguu.Waambie CCM wenzako waanze kurusha kesi ya Mh. Mbowe Live!!
Wakikubali njoo kigamboni nikupe kiwanja 40 kwa 60 kipo barabarani baada ya daraja la Mwalimu nyerere BUREEE
Unataka wewe na nani?. Tunataka tunataka nyambaffSamia kama hataki katiba mpya sisi watanganyika tunataka Tanganyika yetu. Atabaki hana nchi anayoiongoza.
Watanganyika bila katiba mpya tuhimizane kujitoa kwenye muungano wa wana ccm.
Tunataka muungano wa wananchi wa Tanganyika na Zanzibar.
Mnyika ana HISTORIA ya kutumia lugha zenye KEDI na DHIHAKA kwa viongozi wa nchi......Msajili wa vyama vya siasa amemtaka Katibu mkuu wa CHADEMA J J Mnyika kujieleza kufuatia kauli yake kuwa katika mahojiano ya BBC Rais Samia alisema uongo.
Msajili amesema lugha hiyo dhidi ya Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania ni kinyume kabisa cha maadili.
Mnyika ameandika katika ukurasa wake wa twitter.
Mungu ni mwema wakati wote!
Pia soma: John Mnyika: Rais Samia "aidha amepotoshwa au ameamua kusema uongo”
Wewe ni mtoto wa miaka 17 eee?!!🤣Samia kama hataki katiba mpya sisi watanganyika tunataka Tanganyika yetu. Atabaki hana nchi anayoiongoza.
Watanganyika bila katiba mpya tuhimizane kujitoa kwenye muungano wa wana ccm.
Tunataka muungano wa wananchi wa Tanganyika na Zanzibar.
Sakala huyo....U
Unataka wewe na nani?. Tunataka tunataka nyambaff
Msajili wa vyama vya siasa amemtaka Katibu mkuu wa CHADEMA J J Mnyika kujieleza kufuatia kauli yake kuwa katika mahojiano ya BBC Rais Samia alisema uongo.
Msajili amesema lugha hiyo dhidi ya Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania ni kinyume kabisa cha maadili.
Mnyika ameandika katika ukurasa wake wa twitter.
Mungu ni mwema wakati wote!
Pia soma: John Mnyika: Rais Samia "aidha amepotoshwa au ameamua kusema uongo”
Ampelekee na lile tangazo lenu mnalopitisha bakuli kupitia MpesaMnyika mpelekee flash inayoonyesha majibu yake yote kuhusu tozo,demokrasia,vipengele vya Katiba kuhusu vyama.
Na hapa napo yakimkuta ya Kumkuta kama Kawaida yao watasema Kaonewa na wataanza Kuitisha Maandamano nchi nzima na kuanza Kulialia tu.Msajili wa vyama vya siasa amemtaka Katibu mkuu wa CHADEMA J J Mnyika kujieleza kufuatia kauli yake kuwa katika mahojiano ya BBC Rais Samia alisema uongo.
Msajili amesema lugha hiyo dhidi ya Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania ni kinyume kabisa cha maadili.
Mnyika ameandika katika ukurasa wake wa twitter.
Mungu ni mwema wakati wote!
Pia soma: John Mnyika: Rais Samia "aidha amepotoshwa au ameamua kusema uongo”
Na hapa napo yakimkuta ya Kumkuta kama Kawaida yao watasema Kaonewa na wataanza Kuitisha Maandamano nchi nzima na kuanza Kulialia tu.Hiyo ndiyo Taarifa iliyopo mitaani kwa sasa , na huu ndio uzuri wa Chadema , hakuna muda wa kuendelea kudanganya umma na ukaachwa tu .
View attachment 1890160
Mungu ibariki CHADEMAHiyo ndiyo Taarifa iliyopo mitaani kwa sasa , na huu ndio uzuri wa Chadema , hakuna muda wa kuendelea kudanganya umma na ukaachwa tu .
View attachment 1890160
Naona umuhimu was katiba mpya jamani. Watanganyika amkeni kabla jogoo hajawika. Akiwika mnaweza kusambaratika. Mkisambaratika Kama umoja utaendelea litabaki dai la katiba mpya niya wananchi sio ya vyama vya siasa Tena.Msajili wa vyama vya siasa amemtaka Katibu mkuu wa CHADEMA J J Mnyika kujieleza kufuatia kauli yake kuwa katika mahojiano ya BBC Rais Samia alisema uongo.
Msajili amesema lugha hiyo dhidi ya Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania ni kinyume kabisa cha maadili.
Mnyika ameandika katika ukurasa wake wa twitter.
Mungu ni mwema wakati wote!
Pia soma: John Mnyika: Rais Samia "aidha amepotoshwa au ameamua kusema uongo”
Mbowe na genge lake wakirudisha demokrasia ya kweli ndani ya chama, kwa kuruhusu mwenyekiti wa chama kukaa madarakan kwa vipindi viwili vya miaka mitano mitano kama ilivyoainishwa katika katiba ya chama hicho wakati kinaanzishwa, hapo nina imani wanachadema ambao wanapigania demokrasia ya kweli ndan ya chama watamuunga mkono katika hili la sasa, ila bila hivyo apambane na hali yake yey na genge lake linaloenda chooni kupitia mfuko wake. Lengo kuu la kuita CHADEMA (chama cha "demokrasia" na maendeleo) ilikuwa ni kuhakikisha chama kinaonesha ni jinsi gani demokrasia ya kweli inavyofanya kazi katika chama hicho kwa viongozi wa chama hicho kupokezana uongozi kwa njia ya demokrasia na amani, kama walivyofanya wenyeviti waliopita na waasisi wa chama hicho. Mzee Mtei alipomaliza muda wake alitumia demokrasia hiyo kumpokeza kijiti mwenyekiti mungine hayati bob makani, bob Makani alipomaliza alimwachia kwa njia ya demokrasia mh Mbowe. Sasa Mbowe kwanini anakataa kuwaachia na wengine ili kuiendeleza demokrasia ya kweli aliyoikuta ndan ya chama? Mbowe kaiharibu katiba ya chadema vibaya sana kwa kuigeuza katiba ya kidemokrasia kuwa katiba ya kidikteta kama zilivyo zile za Uganda, Rwanda nk...ushauri wako ni mzuri, lakini sidhani kama ccm na polisi watauzingatia.