johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,035
- 142,137
... kwa Msajili kinyume cha maadili (although unjustifiable kwa suala la Mnyika) ina uzito vibaya sana kuliko kinyume cha Katiba! Watu wanavunja Katiba wazi wazi hilo halimhusu Msajili! Ajabu sana....
Msajili amesema lugha hiyo dhidi ya Rais wa JMT ni kinyume kabisa cha maadili
...
Jifunzeni kuwa na staha!Bila katiba mpya nchi hii inayumba. Wazee wa CCM jitokezeni muokoe jahazi...nchi yetu inazama.... Jaji Warioba; mzee Butiku simameni muhesabiwe...
Haiwezekani nchi inapitia
haya na nyie mpo kimya tu. Uongozi wa nchi unayumba.
Binafsi nawakilisha mamilioni ya watanganyika na watanzania kwa ujumla ambao hatutaki katiba mpya. Laiti watanganyika au watanzania kwa uwingi wetu tungetaka katiba mpya basi nchi hii leo isingetawalika. Lkn kwa vile wengi wetu hatuhitaji katiba mpya ndio maana nchi bado inatawalika, shughuli mitaani zinaendelea na hakuna dalili ya chochote kutokea. Japo. alietaka kulazimisha hiyo katiba akiendelea kunyea debe.Samia kama hataki katiba mpya sisi watanganyika tunataka Tanganyika yetu. Atabaki hana nchi anayoiongoza.
Watanganyika bila katiba mpya tuhimizane kujitoa kwenye muungano wa wana ccm.
Tunataka muungano wa wananchi.
Mzee maneno yamekuchoma eee...mnatesa sana wapinzani ninyi...mmempiga risasi Lissu na kumfanya aishi kwa shida hivi kisa siasa...acheni hizo hii nchi ni ya wote. Kiongozi bora ni yule anayesikiliza mawazo tofauti toka hata kwa wachache.Jifunzeni kuwa na staha!
IchukueSamia kama hataki katiba mpya sisi watanganyika tunataka Tanganyika yetu. Atabaki hana nchi anayoiongoza.
Watanganyika bila katiba mpya tuhimizane kujitoa kwenye muungano wa wana ccm.
Tunataka muungano wa wananchi wa Tanganyika na Zanzibar.
Mbona nje ya mada? Au ndiyo vile tenaKama tunavyosherekea wagunduzi wa vitu mbalimbali na kuwapa tuzo, mfano akina Einstein, Tesla basi hapa Tanzania mnamo mwaka 2015 mara baada ya mzee wa nywele nyeupe kuwa mgombea wa chama fulani ambacho kilimtaja kwenye list of shame, hivyo mashabiki wa chama hicho kulazimishwa kumsafisha na kumpigia kampeni ili awe rais na wao wakakubali kwa kufuta list of shame kwenye tovuti ya chama chao na mara moja wakaanza kuzunguka nchi nzima wakiimba kwa kuzungusha mikono kuwa kama mtu huyu angekuwa fisadi kweli basi angefungwa maana yake walikiri kuwa walimsingizia tu!.
Baada ya mkengeuko huo ndipo akajitokeza mgunduzi wa jina la nyumbu akiwafananisha na mnyama nyumbu ambaye hanaga akili ya kufikiri mara mbili pale wanapokatiza mto Mara, hata mto uwe umejaa mamba, nyumbu kiongozi akishajirusha humo basi wote wanaofuatia watajirusha humo na kuliwa.
Leo miaka 5 imepita lakini jina la nyumbu linaendelea kuwafaa wafuasi hawa. Wao kila kitu ni kupinga na kutetea kila aina ya ujinga ili mradi tu huo ujinga umeungwa mkono na kiongozi wao.
Basi napendekeza aliyebuni jina la nyumbu asakwe huko aliko na apewe tuzo.
Tatizo hao wachache hawajatulia, kila siku kukurupuka na dramas, mara kuita press kumjibu Rais na kumwita Muongo, Ukiacha tu urais anaweza kuwa hata Mama yake mzazi. Huyo Lissu alijitakia, yule Magu alikuwa anaonesha kabisa kuna fuse zimekata kichwani halafu yeye anamuita dikteta uchwara, ulitegemea matokeo gani? Watu wa akili kama ya Magu ni wa kukaa nao mbaliMzee maneno yamekuchoma eee...mnatesa sana wapinzani ninyi...mmempiga risasi Lissu na kumfanya aishi kwa shida hivi kisa siasa...acheni hizo hii nchi ni ya wote. Kiongozi bora ni yule anayesikiliza mawazo tofauti toka hata kwa wachache.
Katiba mpya is the key to sort out all these.
Watanzani wapi sema unawakilisha familia yako.Katiba ni muhimu sana kwa taifa lolote maana ndo injini ya taifa km sio muhimu basi hata iliyopo ifutwe km huoni umuhimuBinafsi nawakilisha mamilioni ya watanganyika na watanzania kwa ujumla ambao hatutaki katiba mpya. Laiti watanganyika au watanzania kwa uwingi wetu tungetaka katiba mpya basi nchi hii leo isingetawalika. Lkn kwa vile wengi wetu hatuhitaji katiba mpya ndio maana nchi bado inatawalika, shughuli mitaani zinaendelea na hakuna dalili ya chochote kutokea. Japo. alietaka kulazimisha hiyo katiba akiendelea kunyea debe.
Hivi wewe kwa akili zako unafikiri kuna Mtanzania anayewaamini kwamba Mbowe ni Gaidi....Tatizo hao wachache hawajatulia, kila siku kukurupuka na dramas, mara kuita press kumjibu Rais na kumwita Muongo, Ukiacha tu urais anaweza kuwa hata Mama yake mzazi. Huyo Lissu alijitakia, yule Magu alikuwa anaonesha kabisa kuna fuse zimekata kichwani halafu yeye anamuita dikteta uchwara, ulitegemea matokeo gani? Watu wa akili kama ya Magu ni wa kukaa nao mbali
Watanzania siyo mahakama, na uzuri mahakama zetu ni za wazi, ukweli wote utamwagwa mezani! Kama kasingiziwa or no itajulikana, haina haja ya kuwa na haraka nduguHivi wewe kwa akili zako unafikiri kuna Mtanzania anayewaamini kwamba Mbowe ni Gaidi....
Acheni mambo ya kutesa watanzania wenzenu bana kisa madaraka.
Tatizo hao wachache hawajatulia, kila siku kukurupuka na dramas, mara kuita press kumjibu Rais na kumwita Muongo, Ukiacha tu urais anaweza kuwa hata Mama yake mzazi. Huyo Lissu alijitakia, yule Magu alikuwa anaonesha kabisa kuna fuse zimekata kichwani halafu yeye anamuita dikteta uchwara, ulitegemea matokeo gani? Watu wa akili kama ya Magu ni wa kukaa nao mbali
Waambie CCM wenzako waanze kurusha kesi ya Mh. Mbowe Live!!Watanzania siyo mahakama, na uzuri mahakama zetu ni za wazi, ukweli wote utamwagwa mezani! Kama kasingiziwa or no itajulikana, haina haja ya kuwa na haraka ndugu