LIMBOMAMBOMA
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 9,211
- 12,716
Tayari dereva Wa mnyika kashatekwa, Na afisa habari, kwa nini nanyi msiteke viongozi Wa ccm? Kila Siku mnalia nyie.
Tayari dereva Wa mnyika kashatekwa, Na afisa habari, kwa nini nanyi msiteke viongozi Wa ccm? Kila Siku mnalia nyie.
Mkuu haya mambo yana ukweli!? Mnyika !? Why now!?Tayari dereva Wa mnyika kashatekwa, Na afisa habari, kwa nini nanyi msiteke viongozi Wa ccm? Kila Siku mnalia nyie.
Vipi mmeshampiga kipaipai nini? ccm aka gambas baada kushindwa kumnunua sio.
Sent using Jamii Forums mobile app
CCM imekwisha shindwa siasa
kwanini ziwe jf badala ya hospitali ?Hapana, ni mgonjwa wa akili siku nyingi tu, hata records ziko hapa JF kuhusu afya yake ya kiakili.
Unajiengua kanisani kisa siasa?? Sometimes ni hekima ya mchungaji kusema hivyo... Au ulitaka aiponde serikali... Tatizo mpo addicted na politics sanasana hadi inakucontrol sasa.Mimi nimejiondoa kanisa nililozoeleka kwa sababu ya ujinga wa wachungaji
Bila shaka watakuwa wamekuelewa, hata kama lawama kuhusu ile ya Lissu wanaweza wakasamehewa, ikitokea tena safari hii itakuwa ni zaidi ya uzembe na hawatastahiri hata kidogo kupewa huruma na yeyoteKwa sasa chadema mkitekewa au kupigiwa risasi viongozi wenu utakuwa uzembe tena.tukio LA lissu ulikuwa uzembe Wa chadema kutoweka cover.kwa sasa mkitilia wasiwasi gari yoyote ile iwekeni kati.kama mbwai iwe mbwai.gari kama hizo zichomwe moto kwa nguvu za umma.
NO HATE NO FEAR! Piga kazi katibu kama CCM inataka kuichoma nchi hii tuko tayari
Kwa sasa chadema mkitekewa au kupigiwa risasi viongozi wenu utakuwa uzembe tena.tukio LA lissu ulikuwa uzembe Wa chadema kutoweka cover.kwa sasa mkitilia wasiwasi gari yoyote ile iwekeni kati.kama mbwai iwe mbwai.gari kama hizo zichomwe moto kwa nguvu za umma.
Wewe ndani ya ccm ni sawa na dagaa mchele tu , kinachopangwa na hicho chama hakuna kanisa lingeruhusu mwanaccm kusali , hujui tu .Unajiengua kanisani kisa siasa?? Sometimes ni hekima ya mchungaji kusema hivyo... Au ulitaka aiponde serikali... Tatizo mpo addicted na politics sanasana hadi inakucontrol sasa.
Wewe nani yuko nyuma yako..
kwanini ziwe jf badala ya hospitali ?
Mkuu habari za kusemwa usitile maanani.iliwahi semwa hapa bwana mkubwa hatunaye kumbe uzushiSijui, waulize chadema ndo waliosema kwamba Mnyika ni mgonjwa.
Umenena hawa chadema akili hawana bado tu wanalalamika hawana walinzi waombe makampuni binafsi yawalinde .ujanja wote wambao anashindwa kuweka mapandikizi ya ulinziKwa sasa chadema mkitekewa au kupigiwa risasi viongozi wenu utakuwa uzembe tena.tukio LA lissu ulikuwa uzembe Wa chadema kutoweka cover.kwa sasa mkitilia wasiwasi gari yoyote ile iwekeni kati.kama mbwai iwe mbwai.gari kama hizo zichomwe moto kwa nguvu za umma.
Mmechanganyikiwa nyieNO HATE NO FEAR! Piga kazi katibu kama CCM inataka kuichoma nchi hii tuko tayari