Mnyika apewa Uchifu Mwanza na kupewa jina la Chief Malonja, ataka marekebisho ya Katiba

Magufuli ndugu yangu uwe unaona hata aibu!we ni mwanaume acha tabia za kike!!!shindana kwa hoja risasi za nini????umeshindwa kaa pembeni!!!!!KAMA VP ANDAENI CHAMA MBADALA KULIKO KUTUMIA NGUVU NYINGI KUTUAMINISHA MAVI NI KEKI!!!
 
Mystery,
Kujilinda inawezekana mkuu. Hivi kweli unafuatiliwa na gari hazina plale number. Kama kuna u serious tofauti na sasa weka kati gari hizo piga viberiti. Nafikiri inakumbuka kilichotokea kw a zakaria. Events kama hizo zikijirudia several times hao UVCCM watapata meseji kuliko hii ya kulialia. Ukikaa kimya na kulialia bado utatekwa tu. Mie naunga mkono a reaction to this
 
Mtu akiwapinga hamuelewi na mnamshangaa kutoka moyoni kabisa!
Seriously, jamaa atekwe sababu kafanyiwa mila fulani Mwanza uko ya kupewa uchifu!
 
M
diamond ana walinzi binafsi zaidi ya 10, mlinzi kapewa mbowe tu.kwa maoni yangu hats lissu angekuja tu apewe cover ya nguvu.gari au MTU yeyote akimfuatilia hovyo imekula kwao.huu unyonge Wa chadema Ni Wa kijinga.
Wale wa Diamond unaita nao walinzi? Subiri siku baiskeli ipate blast karibu ya na mtu apige kelele bundukiii! Uone jinsi wa livyo na mbio kuliko Harmorapa! Tunapozungumzia ulinzi hatuzungumzii show za Instagram
 
Uhuru unatakiwa uanzie ndani ya chama... viongozi wa ngazi za juu wa chama waache kuhodhi mamlaka na demokrasia ya wanachama wake kufanya lililosahihi bila kuathiri katiba ya nchi, sheria na kanuni zilizopo.

Mfano wa kwanza, kitendo cha viongozi wa chama kuwanyima haki wanachama kugombea nafasi za uenyekiti serikali za mitaa kwa uchaguzi uliopita kwa sababu walizozisababisha wao (viongozi wa juu wa chama) kwa kushindwa kuwandaa wanachama vyema namna ya ujazaji fomu za kugombea, ni kitendo cha kupoka uhuru. Ili kuonyesha dhamira halali na sahihi ni lazima chama ki- tembelee yale kinayozungumza (Walk the Talk).

Mfano wa pili, kitendo cha kuwanyima haki wagombea nafasi ya uenyekiti wa chama kujieleza kwa muda sawa na wengine huku akipendelewa mgombea mmoja kujieleza kikampeni mara nyingi zaidi ya wenzake kwa visingizio mbalimbali...ni ukosefu wa uhuru ndani ya chama. Chama kiWalk the Talk.

Katibu Mkuu wa chama arekebishe hayo kwanza kwenye chama chake ndiyo aje kwenye jukumu hili lake analojipa la kufikirika.
 
Mlidhania kuwa msukuma ni mwenyekiti wenu tu?
Imekula kwenu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo kuanzia sasa ndiye chifu wenu woote wasukuma

Screenshot_20191229-151647.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom