Mnyika apewa Uchifu Mwanza na kupewa jina la Chief Malonja, ataka marekebisho ya Katiba

Hakika Magufuli ni next level ! yaani anajua kuwachezesha wanasiasa kwata, na kuelekea uchaguzi wa Mwaka 2020 tofauti na ilivyozoeleka wanasiasa kuhama vyama safari hii wanasiasa wanahama makabila ili wapate ahuweni , Bahati nzuri wasukuma ni watu wakarimu sana tuko tayari kuwapokea wote wanotaka kuhama kutoka kwenye makabila yao na kuwa wasukuma karibuni sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani umejiunga fasta leo JF kuja kupinga kilicho tokea huko mwanza.

Wewe nani hadi umpangie mtu kabira lake?
Tulia dawa ikuingie maungoni ili upone vizuri
Hakika Magufuli ni next level ! yaani anajua kuwachezesha wanasiasa kwata, na kuelekea uchaguzi wa Mwaka 2020 tofauti na ilivyozoeleka wanasiasa kuhama vyama safari hii wanasiasa wanahama makabila ili wapate ahuweni , Bahati nzuri wasukuma ni watu wakarimu sana tuko tayari kuwapokea wote wanotaka kuhama kutoka kwenye makabila yao na kuwa wasukuma karibuni sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Screenshot_20191229-151647.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chief Malonja lazima aheshimiwe na wasukuma wote. Hivyo kila ajiitaye ajiitaye msukuma lazima kwa masharti ya kimila amuheshimu na asipofanya hivyo anaweza kupigwa laana bila ya kujali ana cheo gani kisiasa.
 
Mnyika kaisha feli kabla ya kuanza, huwa hatufanyi advocacy and lobbying kijinga hivi..!

Hapa panahitajika shule na akili kubwa ya kustrategy mambo, na si kuwa mwanaharakati ukisikia political science ndiyo wawatumie wakina prof. Baregu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mnyika kaisha feli kabla ya kuanza, huwa hatufanyi advocacy and lobbying kijinga hivi..!

Hapa panahitajika shule na akili kubwa ya kustrategy mambo, na si kuwa mwanaharakati ukisikia political science ndiyo wawatumie wakina prof. Baregu

Sent using Jamii Forums mobile app
Poleni sana wana lumumba na huo ndiyo mwanzo tu lazima mtakosa pa kupatia kitumbua chenu maana cdm ndiyo inazidi kupaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom