Mnyika apewa Uchifu Mwanza na kupewa jina la Chief Malonja, ataka marekebisho ya Katiba

Mimi nimejiondoa kanisa nililozoeleka kwa sababu ya ujinga wa wachungaji
Unajiengua kanisani kisa siasa?? Sometimes ni hekima ya mchungaji kusema hivyo... Au ulitaka aiponde serikali... Tatizo mpo addicted na politics sanasana hadi inakucontrol sasa.
 
Kwa sasa chadema mkitekewa au kupigiwa risasi viongozi wenu utakuwa uzembe tena.tukio LA lissu ulikuwa uzembe Wa chadema kutoweka cover.kwa sasa mkitilia wasiwasi gari yoyote ile iwekeni kati.kama mbwai iwe mbwai.gari kama hizo zichomwe moto kwa nguvu za umma.
Bila shaka watakuwa wamekuelewa, hata kama lawama kuhusu ile ya Lissu wanaweza wakasamehewa, ikitokea tena safari hii itakuwa ni zaidi ya uzembe na hawatastahiri hata kidogo kupewa huruma na yeyote

Maana yake itakuwa ni kwamba hawana uwezo wa kusimamia kitu chochote, wakati hata wanashindwa kuweka mipango ya ulinzi wa viongozi wao. Watu wa aina hiyo utawapa madaraka ya kuongoza na kuhakikisha usalama wa nchi upo sawa?

Kama hawajastuka, ni wakati wajipime vizuri.

Hizi ni nyakati tofauti kabisa, zinazohitaji kwenda na wakati unavyokwenda.
 
Unajiengua kanisani kisa siasa?? Sometimes ni hekima ya mchungaji kusema hivyo... Au ulitaka aiponde serikali... Tatizo mpo addicted na politics sanasana hadi inakucontrol sasa.
Wewe ndani ya ccm ni sawa na dagaa mchele tu , kinachopangwa na hicho chama hakuna kanisa lingeruhusu mwanaccm kusali , hujui tu .
 
Kalamu1,
Ni uzembe, kama diamond anatembea Na mabodigadi zaidi ya 10 sembuse katibu Mkuu Wa chadema taifa.mmi ningekuwa kiongozi chadema ningeshauri hata lissu aje tu hata kesho, awekewe cover ya nguvu.gari yeyote ikimfuatilia itiwe kiberiti fasta.huu sio wakati Wa kulialia kwa polis.unaweza kuta mnyika yuko mwanza kama kuku tu.mlinzi kapewa mbowe tu.chadema hawako serious bado...
 
Kwa sasa chadema mkitekewa au kupigiwa risasi viongozi wenu utakuwa uzembe tena.tukio LA lissu ulikuwa uzembe Wa chadema kutoweka cover.kwa sasa mkitilia wasiwasi gari yoyote ile iwekeni kati.kama mbwai iwe mbwai.gari kama hizo zichomwe moto kwa nguvu za umma.
Umenena hawa chadema akili hawana bado tu wanalalamika hawana walinzi waombe makampuni binafsi yawalinde .ujanja wote wambao anashindwa kuweka mapandikizi ya ulinzi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
31 Reactions
Reply
Back
Top Bottom