Mnyika apewa Uchifu Mwanza na kupewa jina la Chief Malonja, ataka marekebisho ya Katiba

Wewe ndani ya ccm ni sawa na dagaa mchele tu , kinachopangwa na hicho chama hakuna kanisa lingeruhusu mwanaccm kusali , hujui tu .
Nishasema mm si mwanaccm...ni mdau tu wa serikali hii...
Chadema ni kama kirusi nje ya mwili wa mwanadamu....hakijapata favourable conditions tu... Ngoja kipate mazingira kama ya ndani ya mwili wa mwanadamu..ni hatari.... Kule kwetu kuna mbunge wa chadema hajawahi taja kero bungeni... Kakalia tu kuponda CCM kama ndo alitumwa hicho...Mnawaita ccm mafisadi wakati hao mafisadi wakitemwa huko mnawapokea nakuwasafisha,ndo nn hicho.... Yaani mtu anawaza wakinizingua ccm kuna chadema.. Yaani ni kama mnaokota uchafu hivi.... Haya hapo sasa mtaleta mapinduzi gani.... Yaleyale tu tena inawezekana hali ikawa worse ili mjenge chama chenu.... Poor politics... Hakuna kitu mtafanya ninyi.
 
M
Umenena hawa chadema akili hawana bado tu wanalalamika hawana walinzi waombe makampuni binafsi yawalinde .ujanja wote wambao anashindwa kuweka mapandikizi ya ulinzi

Sent using Jamii Forums mobile app
diamond ana walinzi binafsi zaidi ya 10, mlinzi kapewa mbowe tu.kwa maoni yangu hats lissu angekuja tu apewe cover ya nguvu.gari au MTU yeyote akimfuatilia hovyo imekula kwao.huu unyonge Wa chadema Ni Wa kijinga.
 
FB_IMG_1574277425198.jpg
 
Chadema kuweni serious bhana. Hivi kweli mtu kama katibu mkuu wa chama anafuatiliwa na hao uvccm, na nyie mnaangalia tu kama chui wa karatasi?
Hivi mtu akifuatiliwa na Polisiiiii na Tissiiii, hivi wewe utakuwa na uwezo wa kujilinda kweli?

Nchi hii CCM kimeondoka kutoka chama cha siasa na kimejigeuza kuwa ni chama dola, ambapo hivyo vyombo vyote vya dola, ingawa sote ndiyo tunavilipa mishahara yao bila kujali itikadi zetu za kisiasa kama ni CCM au Chadema.......

Na vinaapa kwa mujibu wa Katiba ya nchi, kulilinda Taifa na siyo kuwalinda watawala wa CCM.

Lakini cha ajabu ni kuwa ni wao CCM ndiyo "waniviamrisha" vyombo hivyo vya dola vitende kazi kwa mujibu wa matakwa yao!
 
Chadema hizo mbinu zenu za kujificha na kujifanya mumetekwa hamjulikani mlipo ili kujaza news kwenye media ili ku draw attention feki mbona za kitoto sana

Nimekuwa nikifuatilia Mara is boleni ngeti ,Mara oh Profesa Asad ,Sasa ohh Mnyika acheni utoto Kama mumeishiwa agenda za kisiasa pumzikeni
 
Kwa sasa chadema mkitekewa au kupigiwa risasi viongozi wenu utakuwa uzembe tena.tukio LA lissu ulikuwa uzembe Wa chadema kutoweka cover.kwa sasa mkitilia wasiwasi gari yoyote ile iwekeni kati.kama mbwai iwe mbwai.gari kama hizo zichomwe moto kwa nguvu za umma.
Nikweli no upuuzi kusikia watu wasijulikana kukufuatiliabusitoe taarifa,to taarifa ili haao watu washikishwe adabu na tuwajue Kama alivyofanya Zakaria
 
Back
Top Bottom