Mnyika apewa Uchifu Mwanza na kupewa jina la Chief Malonja, ataka marekebisho ya Katiba

Ningekuwa kwenye huo msafara tayari vyombo vya habari vingekuwa vimetoa _breakin ( 640 X 640 ).jpg

Instagram media - B6qVmmKHuLh ( 799 X 640 ).jpg
 
Kwa sasa chadema mkitekewa au kupigiwa risasi viongozi wenu utakuwa uzembe tena.tukio LA lissu ulikuwa uzembe Wa chadema kutoweka cover.kwa sasa mkitilia wasiwasi gari yoyote ile iwekeni kati.kama mbwai iwe mbwai.gari kama hizo zichomwe moto kwa nguvu za umma.
 
Acheni kumtumia Mnyika, muoneeni huruma na muogopeni Mungu, Mnyika hajui wala hana control na anachokifanya.
 
katika jambo ninalowalaumu chadema hasa viongozi wao ni kuendelea kutembea kama kuku, yaani hata ulinzi hawana. Huko mwanza tayari washatekewa viongozi wao akiwemo dereva wa mnyika.endeleeni mtaisha wote.
 
Back
Top Bottom