Mnyama gani humpendi?

Mnyama gani humpendi?

Nyoka simpendi hata movie nikiikuta ina ilo dude sitazami. Kuna marafiki niliwa unfollow kisa waliweka picha yake…
Wakashangaa, waliponiuliza niliwaambia toeni pic za snake..!!

Na nyie mliotuma mmeniudhi šŸ˜
 
20260509_104427.jpg
 
I don’t like bats either… kiumbe anapenda giza, anatokea usiku tu mchana haonekani.
 
Mi nilikuwa naogopa viwavi na funza, nimekuwa saizi siogopi sijui panya, chura Huwa nawatoa nje nikiwakuta uwanjani waendelee na safari Yao, tandu ndo nakutana nao kila Leo naua TU
 
Back
Top Bottom