Sasa huyu ni popo au pweza anayeruka.!
Tokaaaaa!! [emoji23][emoji23][emoji23]Usione aibu sema kama unampenda...[emoji28]
Huyu mbona familia kabisa bwashee..... haka nakashika kabisa yan nacheza nako.... pia vile vinungunungu....navishika nacheza navyo...wanyama wote familia kasoro nyoka
Unanikumbusha supu ya kongoro ya nguruwe ilivyo tamu
😁Tokaaaaa!! [emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaaha sasa kwa nyoka , mimi familia , ila kinyonga hasa wale wa mgombani hapana bwashee 😀Huyu mbona familia kabisa bwashee..... haka nakashika kabisa yan nacheza nako.... pia vile vinungunungu....navishika nacheza navyo...wanyama wote familia kasoro nyoka
Hahaha ni lazima shindiiKwani lazima uweke lipicha!!!
Kwa nadra sna , ila vinakera vikikupandia kwenye mwiliAnang'ata?