Mnyama gani humpendi?

Mnyama gani humpendi?

wanatumia huwa najiuliza ni trick gani wanatumia sipati majibu
Kuna dawa ambayo sumu ya nyoka haifui dafu yaani hata akikuuma unaendelea na kazi zako. Pili wanakuwa wanawatolea meno (fangs} kila baada ya muda fulani mfano mwezi ila black mamba ujiandae kumtolea kila ndani ya siku 3 hadi 5.
Mwisho kunadawa ya kuwakamatia, ukimsontea tu anakuwa kama jongoo unamdaka na kumtolea meno kisha unaweka kwenye mfuko.

Dawa ya kuua sumu ya nyoka mwilini unapigwa chale asubuhi unazima hadi mchana au jioni. Ukizinduka hakuna cha black mamba wala green mamba labda uhofie kubanwa mbavu na chatu. Nyoka wote wakisikia harufu yako tu wanaufyata na kutoweka maeneo haya.

Karibu kwa ufugaji huu. Fisi, mamba, viboko, bundi wanafugika pia bila mazingaombwe.
 
Aise
 
Back
Top Bottom