min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 51,583
- 144,492
Nikiwa mdogo mama alikua ananiambia mwanaume gani unaogopa kinyonga ila nimekua mpaka leo namwogopa mno, ila nikawashangaza nyoka namkamata hata awe mkali vipiNyoka, chura, kinyonga,
Nikiwa mdogo mama alikua ananiambia mwanaume gani unaogopa kinyonga ila nimekua mpaka leo namwogopa mno, ila nikawashangaza nyoka namkamata hata awe mkali vipiNyoka, chura, kinyonga,
Hahaha , makusudi tuKwani lazima mtume picha?
kinyonga anajifanya mjanja ila ukimtia ugoro kidg mdomoni anakufa chini ya dk Moja.Nikiwa mdogo mama alikua ananiambia mwanaume gani unaogopa kinyonga ila nimekua mpaka leo namwogopa mno, ila nikawashangaza nyoka namkamata hata awe mkali vipi
Nyoka, chura, kinyonga,
Kinyonga simpendi alivyo na pia ule mwendo wa kifala fala kama Hana haraka, nyoka naogopa sumu mzee wengine akikuuma huponi au unakuwa mlemavu. Chura mbayaaaa piaNikiwa mdogo mama alikua ananiambia mwanaume gani unaogopa kinyonga ila nimekua mpaka leo namwogopa mno, ila nikawashangaza nyoka namkamata hata awe mkali vipi
Ka kijinga sana mara kafutuke , mara kabadili rangi , mara katoe ulimi mrefu , mara katembee kwa mnyato, mara kazungushe macho kama propela🚮kinyonga anajifanya mjanja ila ukimtia ugoro kidg mdomoni anakufa chini ya dk Moja.
😅😅😅Kinyonga simpendi alivyo na pia ule mwendo wa kifala fala kama Hana haraka, nyoka naogopa sumu mzee wengine akikuuma huponi au unakuwa mlemavu. Chura mbayaaaa pia
Kakipuuzi mno😅Hapa kwenye macho ndo balaa kanangalia pande mbili tofauti kwa wakati mmoja😁
Kumbe kinyonga ni kama mchawi? Nawaonaga hapa home ila siwazingatiiKa kijinga sana mara kafutuke , mara kabadili rangi , mara katoe ulimi mrefu , mara katembee kwa mnyato, mara kazungushe macho kama propela🚮
Vya hovyo mnoKumbe kinyonga ni kama mchawi? Nawaonaga hapa home ila siwazingatii
Anang'ata?Vya hovyo mno
Kwani lazima uweke lipicha!!!Black mamba ilibaki kidogo anigonge shingoni ,Morogoro kwenye shamba la mpunga , nikaruka kama Bruce Lee kumkwepaView attachment 3586006
Madhara yake ni yapi? Kwangu wapo wengi tuhang'ati meno yake ni kama sponch