Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,730
- 182,785
Tuko pamoja.Nyoka simpendi. Na ndio mdudu ninayemuogopa!!
Tuko pamoja.Nyoka simpendi. Na ndio mdudu ninayemuogopa!!
Mara chache sana kukuta mwanamke haogopi nyoka🤣Yule mjinga anayetembea kwa tumbo.
🤣🤣🤣🤣🤣Nikajua chakorii parody lako ,ila kachakorii ni kapare😃😃
Sijawahi kumpenda hata,aliwahi nifanye nikimbie chumba changu kwa siku kadhaa.Tuko pamoja.
Mdudu mjinga sana yule! Nashkuru sina bahati ya kukutana naeMara chache sana kukuta mwanamke haogopi nyoka🤣
Na hii I'd ya Espy nilikua nakuona mshari shari😅😅😅😅😅🤣🤣🤣🤣🤣
Mtani kama mtani!
Dah nishaumwa na nyoka mara 3Mdudu mjinga sana yule! Nashkuru sina bahati ya kukutana nae
Usiku siwezi kutembea bila tochi namulika chini
Lilikukuta tukio gani mpaka ukapata hii bahati ya kuhisi harufu yake??Sipendi jongoo,na harufu yake ndio kabisaa🤮
Mwanaume unagongwa?Dah nishagongwa na nyoka mara 3
Duh, naomba isinikuteDah nishagongwa na nyoka mara 3
Kuna wadudu wakiogopwa na mwanaume nashangaa😂Sipendi jongoo,na harufu yake ndio kabisaa🤮
Nilimkanyaga bahati mbaya,jinsi anavopasuka inasound kama mifupa laini like kakakakakaks!!!!!Lilikukuta tukio gani mpaka ukapata hii bahati ya kuhisi harufu yake??
Kuna kuogopa na kutopenda kumuonaKuna wadudu wakiogopwa na mwanaume nashangaa😂
Hatari,naona baada ya hapo ulitembea kwa chechemea.Nilimkanyaga bahati mbaya,jinsi anavopasuka inasound kama mifupa laini like kakakakakaks!!!!!
Ana harufu fulani haielezeki
For real,nikimuona yule mdudu maeneo ya kwangu namchungua naenda mtupa mbali kabisa sitaki kumuua ila sitaki kumuona kabisa.Hatari,naona baada ya hapo ulitembea kwa chechemea.
🤣🤣🤣 same here, ila mie kumbe hakuwa yeye, ilikuwa ni tai!Sijawahi kumpenda hata,aliwahi nifanye nikimbie chumba changu kwa siku kadhaa.
Kaka kuna nyoka hata wewe ukai.Kuna wadudu wakiogopwa na mwanaume nashangaa😂
Ukiwa mtu wa shamba kawaida mkuu, hasa maeneo ya matindiga kuna nyoka wakali vibaya mno, ukienda moro kilombero mashamba ya miwa , unakuta black mamba kajisokota kwenye fungu la miwa kichwa kaweka juu ya miwa anakupimia tuDuh, naomba isinikute