Nguruwe ndiye mnyama msafi zaidi duniani.

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
63,811
Reaction score
108,179
Kutokana na ufugaji na matunzo mabaya watu wengi hufikiri au wamekuwa na mtazamo kwamba nguruwe ni mnyama mchafu sana ila huo sio ukweli wa kisayansi.

Ukweli ni kwamba nguruwe ndiye mnyama msafi zaidi anapowekwa kwenye miondombinu sahihi ya ufugaji yenye nafasi kubwa na maji ya kutosha muda mwingi.

Nguruwe kugaragara kwenye matope muda mwingi ni kwa sababu ni mnyama asiyetoa jasho na hivyo mwili wake hauwezi kujipooza kama wanyama wengine hali inayofanya kuhitaji maji baridi ya kuupoza mwili wake muda mwingi.
 
Umejikanyaga mwenyewe ulivosema hatoi jasho, ina maana anahifadhi sumu nyingi mwilini. Kiufupi nguruwe hafai kuliwa kwa sababu ni natural recycler , anakula chochote utakachomuekea. Anakula hata mtu
 
Nguruwe asalamaliko
 
Attachments

  • 1000106091.png
    1000106091.png
    1.5 MB · Views: 1
Umejikanyaga mwenyewe ulivosema hatoi jasho, ina maana anahifadhi sumu nyingi mwilini. Kiufupi nguruwe hafai kuliwa kwa sababu ni natural recycler , anakula chochote utakachomuekea. Anakula hata mtu
Jasho sio njia ya kutoa sumu mawilini, Figo ndio inatoa sumu ya mwili.

Mamba naye analiwa pamoja na kuwa anakula binadamu. Kuku na Bata pia wanakula kila kitu ila wanaliwa na Binadamu wote.
 
Umejikanyaga mwenyewe ulivosema hatoi jasho, ina maana anahifadhi sumu nyingi mwilini. Kiufupi nguruwe hafai kuliwa kwa sababu ni natural recycler , anakula chochote utakachomuekea. Anakula hata mtu
Kwahiyo mlipoambiwa kwenye dini yenu kwamba ukiwa jangwani au sehemu ambayo hakuna chakula zaidi ya kitimoto unaruhusuwa kula mna maana gani?
Ingekuwa ni sumu na haifai kabisa kuliwa hata katika mazingira magumu kiasi Gani msingepewa ruhusa kula.
 
Kutokana na ufugaji na matunzo mabaya watu wengi hufikiri au wamekuwa na mtazamo kwamba nguruwe ni mnyama mchafu sana ila huo sio ukweli wa kisayansi.

Ukweli ni kwamba nguruwe ndiye mnyama msafi zaidi anapowekwa kwenye miondombinu sahihi ya ufugaji yenye nafasi kubwa na maji ya kutosha muda mwingi.

Nguruwe kugaragara kwenye matope muda mwingi ni kwa sababu ni mnyama asiyetoa jasho na hivyo mwili wake hauwezi kujipooza kama wanyama wengine hali inayofanya kuhitaji maji baridi ya kuupoza mwili wake muda mwingi.
Nguruwe aheshimiwe na watu wote
 
Mboga inayo onewa wivu mkubwa na wanaoishi jangwani
 
Back
Top Bottom