Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 90,549
- 179,284
Hapanaaaaa!%£#@^&#Hahaha ni lazima shindii
Hapanaaaaa!%£#@^&#Hahaha ni lazima shindii
Kumbe ndio dawa yako😀😀Hapanaaaaa!%£#@^&#
Mantis=vunja jungu😄Nyoka na huyu hapa huwa sijui jina lake halisiView attachment 3586035
Nishawahi hama nyumba kwa muda nikihisi ni nyoka kumbe tai iko uvunguni. Hilo lidude sitaki hata kuliona tu. Ingekuwa usiku, nisingelala.Kumbe ndio dawa yako😀😀
Shindii tai tu inakutoa jasho?😀 naona umerudia jina la zamani shindiiNishawahi hama nyumba kwa muda nikihisi ni nyoka kumbe tai iko uvunguni. Hilo lidude sitaki hata kuliona tu. Ingekuwa usiku, nisingelala.
Nilikuwa najaribu kama wameniruhusu kubadili mana nilipigwa stop🤣🤣Shindii tai tu inakutoa jasho?😀 naona umerudia jina la zamani shindii
Weeeh chezea hilo lidude!! Nilijua ni lenyewe hadi walipokwenda kucheki, ndio wakaniambia ni tai🤣🤣Shindii tai tu inakutoa jasho?😀
Kuna ile I'd ya chakorii mlikua mna fafa nikajua ni parody lako shindii😀Nilikuwa najaribu kama wameniruhusu kubadili mana nilipigwa stop🤣🤣
Wale wa mgombani ndo wenyewe bwashee..... hawanaga shida ... nyoka hapana, popote napomkuta nampiga kichwa nauaHahaaha sasa kwa nyoka , mimi familia , ila kinyonga hasa wale wa mgombani hapana bwashee 😀
Kufanana kivipi?Kuna ile I'd ya chakorii mlikua mna fafa nikajua ni parody lako shindii😀
Mhmmm itakua kabadili I'd labda , sijui hata kwanini nilihisi hivyo😀Kufanana kivipi?
Halafu kapotea kweli!
Ndiyo hivyo sheikh huyu jamaa mtamu balaa ila jamaa zangu hawampendi🤣🤣Mambo ya Imani nini shehe 😁
Shindii mie kichwa panzi, nikiwa na parody unanikamata dakika sifuri tu🤣Mhmmm itakua kabadili I'd labda , sijui hata kwanini nilihisi hivyo😀
Nikajua chakorii parody lako ,ila kachakorii ni kapare😃😃Shindii mie kichwa panzi, nikiwa na parody unanikamata dakika sifuri tu🤣