Magurudumu
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 1,748
- 490
hivi ikitokea muungano ukavunjika, usalama wa kidini baina ya waislamu na wakristo utakuwaje?
najua tu kwa hypothesis, hili tukio litahisiwa kuhusiana na mauaji ya viongozi wa kikristo na uchomaji wa makanisa.
Mkuu uwe unasoma habari vizuri kabla hujatoa maoni yako. Mleta hoja amesema mlengwa ni Sheikh anayepinga misimamo mikali na kutukana viongozi.