Mlipuko watokea Darajani Zanzibar. Mmoja auawa

Mlipuko watokea Darajani Zanzibar. Mmoja auawa

Status
Not open for further replies.
mara wakenya mara ccm mara wakristo wa bara...bado kusingizia wamarekani na wayahudi
 
Kuna kila sababu ya kufikiria kuwa ni Wakenya wafanyayo haya.

Muslim huwa ni wepesi wa kusingizia watu wengine wakati wanajua kabisa kuna vifungu kwenye Quran vinasema ua utapata huruma ya Mungu. Dunia ina dini nyingi, kwanini dini ya kiislam ndio ioenekane kuua na kufanya vurugu?. Mti mwema uzaa matunda mema. Danganyeni watoto, mara ni CCM, mara ni Kenya.
 
mara wakenya mara ccm mara wakristo wa bara...bado kusingizia wamarekani na wayahudi

Yaani hawa watu wana propaganda sana, hivi kwanini wamarekani wasitumie dini ya Budha, Sinkh, Wakristu nk, mbona watumie waislam eti kufanya ugaidi. Ni vyema waislam mkajua kuwa hiyo dini ina walakini. Haiwezekani Mungu aumbe Wakristu, Wayahudi, halafu tena Mungu huyo huyo kwenye vitabu vyake awachukie Wayahudi na Wakristu. Mbona kama Mungu hapendi Wakristu na Wayahudi anaendelea kuwaumba kila kukicha?

(Surah 5:51) . Waamini, Msikubali Wayahudi na Wakristu kuwa marafiki zenu
 
Kuna kila sababu ya kufikiria kuwa ni Wakenya wafanyayo haya.

Haya bwana, bila propaganda uislam hauendi. Utasikia mtu akiwa na macho makavu anasema neno "ISLAM" maana yake Peace/Amani. Wakati maana yake ni Submit/Jisalimishe. Jina jisalimishe lilitungwa wakati vita vya kueneza dini (Jisalimishe kwenye dini ya Allah)
 
Mbona neno dini hukulitafsiri?
 
Muslim huwa ni wepesi wa kusingizia watu wengine wakati wanajua kabisa kuna vifungu kwenye Quran vinasema ua utapata huruma ya Mungu. Dunia ina dini nyingi, kwanini dini ya kiislam ndio ioenekane kuua na kufanya vurugu?. Mti mwema uzaa matunda mema. Danganyeni watoto, mara ni CCM, mara ni Kenya.

Uongo mtupu. Weka hivo "vifungu".
 
Uongo mtupu. Weka hivo "vifungu".

Hivyo hapo baadhi tu, hivi ndivyo vifungu wanavyotumia extremism kuua watu

"If you should die or be slain in the cause of God, His forgiveness and His mercy would surely be better than all the riches..." (Surah 3:156-)

"Fight for the cause of God with the devotion due to Him...He has given you the name of Muslims..." (Surah 22:7😎

"Slay them wherever you find them...Idolatry is worse than carnage...Fight against them until idolatry is no more and God's religion reigns supreme." (Surah 2:190-)

"Fighting is obligatory for you, much as you dislike it." (Surah 2:216)

"...make war on the leaders of unbelief...Make war on them: God will chastise them at your hands and humble them. He will grant you victory over them..." (Surah 9:12-)

"If you do not fight, He will punish you sternly, and replace you by other men." (Surah 9:37-)

"Believers, make war on the infidels who dwell around you. Deal firmly with them." (Surah 9:121-)
 
Kwanza umechakachuwa bila context'

Sasa soma na hiki, mbona umekisahau;

"Do you think I have come to bring peace to the earth? No, I have come to divide people against each other!"

Tuambie na hicho kipo aya ipi na kitabu kipi na ni maneno ya nani hayo?
 
Kwanza umechakachuwa bila context'

Sasa soma na hiki, mbona umekisahau;

"Do you think I have come to bring peace to the earth? No, I have come to divide people against each other!"

Tuambe na hicho kikpo aya ipi na kitabu kipi na ni maneno ya nani hayo.

Kunukuu vifungu vya kujitungia mwenyewe ...kunukuu bila kuelewa mantiki ni upotoshaji unaokera na wenye lengo la kuwakera waumini ili machafuko yatokee ama yaendelee...bahati mbaya sana watu wameshtuka propaganda za watu wale wale waliokuja kwetu kama ma agents wa amani na kutangaza neno la bwana kumbe walikuwa wanalengo la kututawala na kujichukulia rasilimali zetu bure bure... miaka 50 baada ya uhuru waafrica wanatumiwa na watu wale wale kwa malengo yale yale kwa mbinu zile zile kuwagawa na kasha kujichukulia rasilimali zao via mikataba ile ile waliyoingia na akina mangungo wa msovero!!! tukija tahamaki tutajikuta tumebakia vilema tena kwa silaha zinazotoka kwa watu wale wale wenye kutugawa kwa misingi ya rangi, imani, kabila, hali, jinsi nk!!! Wenzetu wanapigana vita vya kumiliki uchumi wa dunia, wanapigana kulinda rasilimali zao! sisi tunauana ili nini? NGOs na madhehebu wanao tumiwa kuwaua Watanzania wanajitambua? wewe unae shinda hapa mitandaoni kukolezea uhasama wa kidini unajitambua? babu wa babu wa babu yako alikuwa anaomba rehma za Mwenyeezi Mungu via Vatican, Milan kwa mafia, Jerusalem, Madina, Mecca, Washington, London kwa malkia? ...Kwanini tuazidi kuangamia kwa kukosa maarifa? kwanini hatuhubiri haki na usawa kama ambavyo DINI zetu zinatuasa? kwanini hatukemei UFISADI na MIKATABA ya KISHENZI? Kwanini tunafurahia Makampuni ya Kimagharibi kuhujumu rasilimali zetu? baadhi ya waliotuletea hizo dini mbona wanatulazimisha kuwa MASHOGA? kuna uhalali gani wa kuendelea kuamini wanachokiamini?... tujitahidi kuangalia mambo katika 3D badala ya kendeleza upogo wa KIDINI wenye athari kubwa kwa jamii yetu wakuu...
 
Hivyo hapo baadhi tu, hivi ndivyo vifungu wanavyotumia extremism kuua watu

"If you should die or be slain in the cause of God, His forgiveness and His mercy would surely be better than all the riches..." (Surah 3:156-)

Ewe mchakachuaji, tazama aya inasemaje kwa ukamilifu wake, Qur'an haichakachuliki, wameshindwa wajanja kuliko wewe kwa miaka zaidi ya 1,400 utaweza wewe? soma:

Qur'an 3:156. O you who have believed, do not be like those who disbelieved and said about their brothers when they traveled through the land or went out to fight, "If they had been with us, they would not have died or have been killed," so Allah makes that [misconception] a regret within their hearts. And it is Allah who gives life and causes death, and Allah is Seeing of what you do.
 
Hivyo hapo baadhi tu, hivi ndivyo vifungu wanavyotumia extremism kuua watu

"Fight for the cause of God with the devotion due to Him...He has given you the name of Muslims..." (Surah 22:7😎

Huwezi kuuchakachuwa ukweli hata uje wewe na mashetani wenzako, jisomee ukweli:

Qur'an 22:78. And strive for Allah with the striving due to Him. He has chosen you and has not placed upon you in the religion any difficulty. [It is] the religion of your father, Abraham. Allah named you "Muslims" before [in former scriptures] and in this [revelation] that the Messenger may be a witness over you and you may be witnesses over the people. So establish prayer and give zakah and hold fast to Allah . He is your protector; and excellent is the protector, and excellent is the helper.
 
Hivyo hapo baadhi tu, hivi ndivyo vifungu wanavyotumia extremism kuua watu

"Slay them wherever you find them...Idolatry is worse than carnage...Fight against them until idolatry is no more and God's religion reigns supreme." (Surah 2:190-)
Haichakachuliki, jisomee:

Qur'an 2:190. Fight in the way of Allah those who fight you but do not transgress. Indeed. Allah does not like transgressors.
 
Al Shabab? Boko Haram? Al Qaeda, Uamsho?

Sijasikia yote hayo, kulikoni?

Mabomu ya kivita(???) yakamatwa Zanzibar

26/10/2014 | Na Mauwa Mohammed | Kitaifatangulizi | maoni 0 | wasomaji 14 |

JESHI la Polisi Tanzania limefanikiwa kukamata mabomu manne ya kivita yaliyofichwa katika eneo la mji wa Zanzibar na mtu ambaye jina lake limehifadhiwa kutokana na sababu za kiuchunguzi.
Akizungumza na waandishi wa habari jana makao makuu ya Polisi Zanzibar, Kamishna wa Polisi Hamdan Omar Makame alisema kuwa Polisi wanaendelea na uchunguzi wa tukio hilo kwa kuwa uhalifu huo umewahi kujitokeza siku za nyuma.
Kamishna Makame alisema kuwa mtu amewekwa chini ya ulinzi na kuwaeleza polisi kuwa mabomu hayo yalikuwa matano lakini moja lililipuliwa katika eneo la Darajani mjini Unguja.
Makame kukamatwa kwa mtuhumiwa huyo kunatokana na ushirikiano baina ya polisi na raia wema ambao wamekuwa wakichukizwa na vitendo vya ulipuaji vinavyojitokeza katika nji huo.
Kamishna huyo hakuwa tayari kutaja jina la mtuhumiwa huyo wala eneo waliokamata mabomu hayo kuhofia kuharibu uchunguzi na kutaka kuhakikisha vitendo vya kihalifu vinatoweka na watuhumiwa wanachukuliwa hatua za kisheria.
Februari 24, mwaka huu Watu wanne walijeruhiwa baada ya milipuko minne inayoaminika kuwa ni mabomu kutokea katika maeneo matatu tofauti Zanzibar.
Katika moja ya matukio hayo, watu wanne walijeruhiwa, mmoja akikatika mguu, katika eneo la Unguja Ukuu, Mkoa wa Kaskazini Unguja.

Hii tamthilia sasa inaendelea part II...KAENI MKAO WA HADITHI NJOO
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom