MAGEUZI KWELI
JF-Expert Member
- Jul 16, 2011
- 1,947
- 254
Ndoto za mauaji usiziendekeze..kemea
Hivi Zanzibar kwanini isiwe kama mkoa mwingine tu wa bara.., hii itatuwezesha kuwanyoosha vizuri hawa watu..!
another scenario,....
Nafikir polis wmeshindwa kuthubit masuala haya ya mabomu.
Wanasuburi hadi taarifa za kiinterejisia zipatikane ndo wachukue hatua wkt huo wanachi tumeshalipuliwa na kufa.
Kuna awamu tatu za uongozi zimeshapita lakini awamu hii ya sasa ina matukio ya ajabu sijawahi ona sijui kwa nini.
Alshabab! Boko Haram! Al Qaeda! Uamsho!
Mbona sisikii yote hayo, kulikoni?
Kuna awamu tatu za uongozi zimeshapita lakini awamu hii ya sasa ina matukio ya ajabu sijawahi ona sijui kwa nini.
Nna uhakika haukuwepo tarehe 20, tarehe maarufu sana kwetu wenye umri mkubwa. Nyerere ilipombidi atoroshwe na baibui. Basi hata hujasikia?
Kwenda huko kila mtu anajua mombasa masheikh wanauliwa na serikali ya kenyata na wakristo
Na hawa wa znz ni wakristo tu wa bara hakuna lolote jengine
Wewe ka**ba mzee bila kumtaja Mwl Nyerere inaonekana menopause yako haiendi sawa eeeh...
Nyerere aliwakomesha nyie wahujumu uchumi ukakimbia nchi nchi na sasa unaleta kisasi chako kutoka huko mafichoni ughaibuni, watanganyika hatudanganyiki, bakia na ukibaraka wako huko huko Canada