crabat
JF-Expert Member
- Dec 28, 2012
- 4,323
- 2,210
tuache ujinga, mkuu wa polisi anasema walofanya hivyo ni vijana alokua ndani ya gari aina ya vitz.
hivi zanzibar kuna vitz ngapi ? 100? 500? si usajili wa magari sasa uko comuterised ? si yanajulikana magari yote ya vitz ukienda tra ?
si wayakusanye yote then wayafanyie dna test kama kuna chembe za mabomu ?
polisi wetu masikini wanatumiwa tu.
sasa leo bomu limeua sheikh mbona hatuoni mawaziri wa muungano kwenda znz?
mara ile padre kapigwa kibastola zogoooo kina nchimbi na wenzake kelele oooh ugaidi ugaidi..leo kimya ? mnawajua ?