Governor of Bettors-GB
JF-Expert Member
- Jul 14, 2013
- 10,878
- 10,099
Habari zilizopo ni kwamba, mabomu yametupwa na watu wasiojulikana eneo la Darajani, Zanzibar na kuua mtu mmoja mpaka sasa na wengine 4 ni majeruhi.
Habari za awali ni kwamba waliotupiwa mabomu hayo ni baadhi ya viongozi wa dini ambao walikuwa wametoka msikitini kutoa mawaidha na wakati wanatoka na kuingia kwenye gari lao ndipo mtu asiyejulikana alitupa bomu hilo (inasemekana ni zaidi ya moja).
Habari kamili nikipata zaidi nitawajuza.
========
More:
PIA SOMA
- Uelewa wangu juu ya kundi la watu wasiojulikana
~ Matukio ya Watu kupotea na wengine kudaiwa kutekwa, nini kinaendelea kuhusu usalama wa raia
- Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana

Taarifa zilizopo ni kuwa Bomu limelipuliwa (hand thrown Grenade) baada ya mhadhara wa ndani ya msikiti huko Unguja na Ndg yetu kijana Muhammad mkombolaguha amefariki dunia, sheikh Abulfadh'li Qassim mlengwa wa shambulio amejeruhiwa mkono na mguu na yu wapata matibabu hospitalini na hali yake sio mbaya sana.
Aliyefariki ni mwanafunzi wa sheikh ktk Markaz iliyopo Tanga, Abulfadh'li ni miongoni mwa masheikh wanaowindwa sana na wanaharakati, mashia na makhawarij wanaopinga msimamo wake ulio sahihi wa kukataza maandamano, kupinga jihad bila ya shurutwi za kisheria, kupinga kukufurisha watu bila ya sababu za kisharia, kutukana na kulaani viongozi waliokabidhiwa mamlaka. Ni sheikh pekee na wa aina yake hapa Tz alie na low profile lakini akigusa mioyo na kubadilisha misimamo mingi ya kijazba na iliyokosa usuluub na ilm ya kisheria.