Mlipuko watokea Darajani Zanzibar. Mmoja auawa

Mlipuko watokea Darajani Zanzibar. Mmoja auawa

Status
Not open for further replies.
niajabu kuona watetez wakweli wa sharìa ndo wanaonekana maaduì wadini. Mungu awape subra
 
ndugu wa marehemu wengine wakombali kwanini tuwashtue hivi

delete the photo please

mnatutaftia ban

au hadi tuseme kuwa huyo ni anko wetu?
 
Muungano bado upo, sarakasi; ukivunjika itakuwaje? Na bado. Waumini wa muungano tunasema utadumu tu ili kuwalinda ndugu zetu wazanzibari wasio na hatia. Kina jusa ni wa kupuuzwa.

Mzee usilete siasa kwenye maisha ya watu. Sometimes kukaa kimya kunaweza kuilinda heshima yako ndogo uliyojijengea.
 
hili si tukio linalohusisha watu wa dini tofauti, ni waislamu kwa waislamu kaka, kuna wale wanaharakati au tuseme wenye misimamo kama ya Ponda, na Masalafiy
hivi ikitokea muungano ukavunjika, usalama wa kidini baina ya waislamu na wakristo utakuwaje?

najua tu kwa hypothesis, hili tukio litahisiwa kuhusiana na mauaji ya viongozi wa kikristo na uchomaji wa makanisa.
 
Kwa mujibu wa maelezo yaliyotolewa na wachangiaji tafauti inathibitisha ya kuwa hili tukio si la Wazanzibari na wala hawana uhusiano nalo.

Inaonesha maadui wa huyo shekhe ambae ndie mlengwa, walikuwa wakimfatilia nyendo zake ili watimize azma yao ya kumuua na kwa bahati shekhe kawepo Zanzibar.

Jambo ambalo limepelekea kutuchafulia Zanzibar yetu. 💉
 
hivi ikitokea muungano ukavunjika, usalama wa kidini baina ya waislamu na wakristo utakuwaje?

najua tu kwa hypothesis, hili tukio litahisiwa kuhusiana na mauaji ya viongozi wa kikristo na uchomaji wa makanisa.

Kwani kenya kuna muungano?na mbona viongozi wa kidini wanauawa kila leo?acha upoyoyo ndugu jadili mada sio kuanza propaganda zako,tunakuelewa.
 
Sometimes huwa nafikiria labda ni utoto but nadhani Watanzania tuna tatizo. Issues zinazohusu maisha na uhai wa Wananchi zikifika hapa jukwaani watu wanajadili kishabiki, matusi, kulaumu watu na mamlaka hata kama hazihusiki... there is a problem somewhere.
Mi nadhani kama ni minyukano ya kisiasa au kidini zipo topics muafaka nyingi tu za kufanya hivyo.
Tuwe wepesi kuwapuuza watu wanaotaka kupotosha mada za kijamii kama hizi kwa kutojibizana nao. But only matured can pick this
 
mkuu kwani wewe umesikia kutoka wapi, ni vema ungefatilia kabla hujaja kututia presha jf
 
Hivi Zanzibar kwanini isiwe kama mkoa mwingine tu wa bara.., hii itatuwezesha kuwanyoosha vizuri hawa watu..!

mbona mkoa wa mara umewashinda? mauaji yanayotokea mara unaweza linganisha na mauaji yanayotokea znz? usipende kufikiri kwa kutumia ------
 
Poleni sana kwa wahanga wa mlipuko. Alazwe mahali pema peponi aliyefariki,,,,,,,,,amen.
 
Kwajinsi story ilivyo ni wenyemsimamo husio na mashiko ya dini ndo walofanya,poleni wote.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom