Mlipuko watokea Darajani Zanzibar. Mmoja auawa

Mlipuko watokea Darajani Zanzibar. Mmoja auawa

Status
Not open for further replies.
hivivvijitu vinavyofanya vurugu zanzibar wasidhibitiwe? nakumbuka mwaka 2001 ilikuwa vurugu kama sasa walidhibitiwa vizuri sana wale watu waliowadhibiti wapo wapi?
 
Katika waislamu wa msimamo mkali kama Uamsho lazima wawe wamehusika..
Kwa ushahid zaidi ingia FB kwenye page ya uamsho ijulikanayo kama

" Jumuiya Ya Uamsho na
Mihadhara Ya Kiislamu
Zanzibar "

Utakutana na post waliyotuma tarehe 28/4/2014 yenye kuonyesha negative attitude dhidi ya huyo sheikh na msimamo wake wa kupinga JIHAD.
Kwa kifupi ni shehe aliyekuwa hakubariki na wenye mkali wa kiislamu.

uamsho haina page ya face book kwa mujibu wa sheikh wa uamsho so watu wametengeneza hiyo page kuwachafua uamsho.
 
Mtabe
Mkuu anti balaka siyo wakristu, ni muungano wa watu wasio waislam wakiwa na lengo la kujilinda baada ya ndugu zao kuuawa na waislam. Ndio maana utaona askari wao wanavaa Irizi. Fuatilia kisa cha anti balaka utajua ni akina nani. Hata hapa TZ ikitoke lazima tuunde kikundi cha kujilinda, hatuwezi acha wazazi na watoto wauawe wakati vijana tupo

Ona antibalaka wakiwa wamevaa Irizi, ukristu na Irizi tangu lini?

images
 
Last edited by a moderator:
One person has been killed and several others wounded in a bomb attack near a mosque on Tanzania's Indian Ocean island of Zanzibar, police say.
Police said the bomb went off in the Daranjani commercial district of Stone Town, the UNESCO-listed historical centre of the semi-autonomous Tanzanian archipelago, at 8:15pm local time yesterday.
 
Leo waislamu wanachinjana Syria, Iraq, Pakistan, Misri lakini bado kuna wapuuzi wanaojidanganya kuwa kila tukio dhidi ya muislamu lina mkono wa Vatican au Mmisheni! Watu wanawanyonyeeshea vidole wakina Anti-Balaka bila kujua hiyo Anti imetokea wapi? Bila kujua wakina Seleka ni wakina nani!

Mpaka hapo tutakapolaani uovu wowote bila kutafuta visingizio kwa wale wenye imani yetu, matendo maovu kama haya yataendelea kutokea.

Amandla.....
 
Tunasikitika kutoa taarifa kwamba Jana Zanzibar Msikiti wa Darajani kulitokea tukio la Kigaidi la mashambulizi ya Bomu katika msikiti wa Darajani na kujeruhiwa watu wanane na Kuuliwa Mtu mmoja ambao walikua wakitoka Msikitini sala ya Ishaa. Mpaka sasa hatujapata taarifa yoyote kutoka kwenye vyombo vya usalama juu ya kadhia hii ya mashambulizi dhidi ya Raia wasiokua na hatia.. Tunaviomba vyombo vya ulinzi na Usalama kuliangalia kwa karibu tukio hili...kwani linaweza kuja kuhatarisha Amani katika Nchi yetu...Tudumisheni Amani..Tudumisheni mavumiliano...Tuijenge Tanzania yenye dini nyingi ila yenye mshikamano mwema wa Kiraia.
 
Muungano ukivunjika Zanzibar itavamiwa na magaidi na kuifanya ni Terrorists HQ, ndiyo maana sisi wa huku bara kamwe hatuna ndoto kuvunja muungano huo.

that means Tanganyika ina uwezo wa kuzuia magaidi kuja Zanzibar?

mbona mpaka sasa Zenji imejaa magaidi wengi tu tena wengine ni viongozi wakubwa tu!

Sio lazima waje al qaeda ndo yujue kwamba magaidi wamefika,!
 
Zanzibar (Tanzania) (AFP) - One person was killed and several others were wounded in a bomb attack near a mosque on Tanzania's Indian Ocean island of Zanzibar on Friday, police said.

Police said the bomb went off in the Daranjani commercial district of Stone Town, the UNESCO-listed historical centre of the semi-autonomous Tanzanian archipelago, at around 8:15 pm (1715 GMT).
"We are investigating to find out the type of explosive, the criminals and motive. We ask people to help provide information," Senior police official Mkadam Khamis told AFP.

Witnesses said the casualties included worshippers who were coming out of evening prayers from a nearby mosque. The island is also currently hosting a religious gathering of Muslims from across the east Africa region.
"We ask people not to panic, as the security forces are on full alert," the police official said.

The attack coincided with the opening of the Zanzibar International Film Festival, which has drawn a number of international visitors, and bars and restaurants have also been packed with people watching World Cup matches.

There was no immediate claim of responsibility for the attack.
Hii sasa ni hali ya hatari imeshatufikia...
 
toa pumba hapa,bunduki ,maguruneti na silaha nyingi zinapatikana kwa wasio na dola,kama alshabaab,uamsho,bokoharam.majambazi na wengineo. hii sumu ya kuua kiumbe haishii hapo tu, sasa ni wenyewe kwa wenyewe,mkipingana hoja njia pekee ya kumnyamazisha ni kumuua,nani kawapeni ruhusa ya kuua ovyo?
 
Walofanya ni wenye grenade ambao zipo chini ya muungano sio jussa sio uamsho
Ni wauaji walosema jeshi litachukua nchi
Haya ni mambo ya lukuvi na genge lake ambao alisema kanisani kuwa watafanya liwalo na liwe lakini znz hatuitoi
Hivi huyu nae akili zimo au ilimradi tu amekariri chakuandika
 
Kwako Invisible na Moderator,

Jana katika huu uzi kuna bandiko la yule kilaza Manyerere Jackton akiandika UHARO yaani utumbo mtupu!

Nilimjibu kwa kumuonesha ujinga aloandika hapa ili hali watu tupo katika majonzi ya kufiliwa na jamaa zetu halafu yeye analeta uchepe na masihara kwa kuingiza siasa!

Mtu kama huyu Manyerere Jackton ni hatari mno, kama anathubutu kuleta siasa katika maisha ya watu basi bila shaka anaweza tumia kalamu yake kuleta hitilafu miongoni mwa jamii!

Wacha kutumika kama shimo la choo kwa tamaa ya pesa ndogo!

SUALI LANGU?
Kwanini bandiko langu la kumjibu huyu mchumia tumbo mmelitoa hapa kwenye huu UZI?!

Je, huu ndio muendelezo wa kutunziana heshima hapa JF kwa uharo alohara mbele ya kadamnasi?

Naomba kufahamu sababu ya kulitoa bandiko langu?
 
Last edited by a moderator:
usianze kuchoche chuki za kidini bibie...mimi khofu mpaka sasa hizi ni fitna za wakenya kuanza kui destabilize destination ya Utalii wa Zanzibar na Tanzania kwa Jumla....Kenya wanatajua Roho za waislamu hazina thamani na wanajua tuna mgogoro wa kikatiba...wanataka kuitumia hii nafasi ili na tanzania isiwe Salama..Tuacheni udini tuanze kushuhulikia usalama wa Nchi Yetu...Kenya si Katika majirani wazuri... Naliomba Jeshi la Plisi liangalie Mipaka yetu vizuri...
 
Thats too bad for ourselves, Tanzania is the most peaceful country. Who is the hell want to move us from that treasure we have. Shit!!!
 
ni Waislamu hao,ambao wanataka lazima ufate wanachokitaka wao,ukiwapinga wanakuua. ilmu ni bahari na uchambuzi unakuwa mwingi,hivyo hao wenye jazba na maghadhabu ndio wenye kupotosha na njia wanazotumia ni kuua kila mwenye msimamo tofauti na wao
 
Kijana jifunze kuacha chuki na kukifanya kichwa cha ni shimo la kutiwa Kasumba mbovu...Uamsho ni taasisi iliosajiliwa na Serikali na mpaka hawajafutiwa usaili wao kwa sababu si taasisi ya Kigaidi.....umepata habari za kua uamsho wana mabaruti au ni kikundi cha wanamgambo....
 
Hili ndo tatizo lenu na Nchi hii nyinyi ndio mtaitia kwenye Majanga...walopigwa ni waislam halafu bado mnashindwa kuamini kua wapigaji wanaweza kua si Waislam....Je angeuliwa Mkiristo? mngeona ata Jeshi la Polisi la tanzania halifai kuchunguza tukio...mkaita FBI.....iteni basi ao FBI!
 
Zanzibar (Tanzania) (AFP) - One person was killed and several others were wounded in a bomb attack near a mosque on Tanzania's Indian Ocean island of Zanzibar on Friday, police said.

Police said the bomb went off in the Daranjani commercial district of Stone Town, the UNESCO-listed historical centre of the semi-autonomous Tanzanian archipelago, at around 8:15 pm (1715 GMT).
"We are investigating to find out the type of explosive, the criminals and motive. We ask people to help provide information," Senior police official Mkadam Khamis told AFP.

Witnesses said the casualties included worshippers who were coming out of evening prayers from a nearby mosque. The island is also currently hosting a religious gathering of Muslims from across the east Africa region.
"We ask people not to panic, as the security forces are on full alert," the police official said.

The attack coincided with the opening of the Zanzibar International Film Festival, which has drawn a number of international visitors, and bars and restaurants have also been packed with people watching World Cup matches.

There was no immediate claim of responsibility for the attack.
Hii sasa ni hali ya hatari imeshatufikia...


Poleni sana ndugu zetu wa visiwani.
Kumbukeni mlificha wachomaji na walipuaji wa makanisa.
Mtaendelea kuuana mpaka mrekebishe lile tone la damu la kwanza lililomwgwa kwenye ardhi yenu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom