Boko haram
JF-Expert Member
- Nov 7, 2011
- 3,256
- 1,232
Acha unafiki.......Kilichofanya huyu Shekhe akoswe kuuawa ni kuhubiri maneno haya
Acha unafiki.......Kilichofanya huyu Shekhe akoswe kuuawa ni kuhubiri maneno haya
Alshabab! Boko Haram! Al Qaeda! Uamsho!
Mbona sisikii yote hayo, kulikoni?
Mkuu huyu haishi Canada, aliwapiga fix, Canada sasa hivi wamelala, lakini huyu anashinda kwenye key board masaa 16 ya kitanzania
Hivi Zanzibar kwanini isiwe kama mkoa mwingine tu wa bara.., hii itatuwezesha kuwanyoosha vizuri hawa watu..!
Nchi jirani imezoea haya kwa ivyo mue na nguvu manake hiki ni kionjo tu
Wewe ka**ba mzee bila kumtaja Mwl Nyerere inaonekana menopause yako haiendi sawa eeeh...
Nyerere aliwakomesha nyie wahujumu uchumi ukakimbia nchi nchi na sasa unaleta kisasi chako kutoka huko mafichoni ughaibuni, watanganyika hatudanganyiki, bakia na ukibaraka wako huko huko Canada
Huyu ndie aliyefariki ni mwananfunzi wa markaz ya tanga na wanne ni majeruhi
Kwani kenya kuna muungano?na mbona viongozi wa kidini wanauawa kila leo?acha upoyoyo ndugu jadili mada sio kuanza propaganda zako,tunakuelewa.
Mbona mtu wa pili kutoa ripoti ana lafudhi ya kiswahili cha Mombasa kenya?
Mkuu, ni kama vile umefurahia hayo maafa. Au nimekutafsiri vibaya?
Kuna watu wengine siku hizi hata ugomvi wa mgao wa ubwabwa tu hutumia mabomu...
Ukichunguza sana utagundua sababu ya kurusha bomu ni upumbavu tu...