Mlipuko watokea Darajani Zanzibar. Mmoja auawa

Mlipuko watokea Darajani Zanzibar. Mmoja auawa

Status
Not open for further replies.
Ibn Khalidoun

Inshaalah Allah amfanyie wepesi Sheikh wetu Abulfadhil Qasim Mafuta na mwanfunzi aliyefariki Abutwalha amsamehe Inshaalah
 
Last edited by a moderator:
Habari zolizotufikia hivi ni kwamba mtu asiyejuilikana amerusha bomu na kumuuwa muhadhir mmoja kutoka Tanga ambae yupo Zanzibar kwa ajili ya Jitimai.Kwa mujibu wa Kamanda wa mkoa waMjini Magharibi wahadhiri hao walikua wanatoka msikitini Darajani katika sala ya Isha wakati wanaelekea katika magari yao ndio yakaawakuta maswahibu hayo.Wahadhiri wengine saba wamejeruhiwa wapo hospital ya Alrahma kwa matibabu.

Poleni ndugu zetu wa Zenj
Isije ikawa Al Shabab
 
Hatari sana
 

Attachments

  • 1402692908277.jpg
    1402692908277.jpg
    34.2 KB · Views: 435
Huko Zenj ambako kulianza kupata Watalii wengi wa ndani toka Tanganyika wengi wataanza kufikiria mara mbili mbili kuzuka kule kutokana na matukio kama haya. Kama ulinzi haukongezwa basi kuna hatari ya kutokea mlipuko kwenye mkusanyiko watu watu wengi kama club na kuua na kujeruhi wengi wasio na hatia yoyote ile.
 
Nchi za kiarabu ziatoa pesa na silaha ndogo ndogo. zikiwemo. grenades kwa vijana wa kiislam ili kuendeleza jihadi. Hii ni habari ya kiintelejensia, vyombo vya usalama vitimize
wajibu wake kikatiba nakisheria
 
inaweza kuwa vita ya biashara ya utalii baada ya milipuko ya kenya watalii wengi walikimbilia zanzibarjaribuni kuangalia kwa jicho la tatu
 
Hivi inawezeka vipi kisiwa kidogo hivyo watu warushe bomu la mkono na kuuwa wasikamatwe? Mbona Unguja sioni mahali pa kujificha kama kweli dola inafanya kazi yake ipasavyo?
 
Nafikir polis wmeshindwa kuthubit masuala haya ya mabomu.

Wanasuburi hadi taarifa za kiinterejisia zipatikane ndo wachukue hatua wkt huo wanachi tumeshalipuliwa na kufa.

Ebu rudia kusoma ulichoandika kwanza.
 
Habari zilizopo ni kwamba, mabomu yametupwa na watu wasiojulikana eneo la Darajani, Zanzibar na kuua mtu mmoja mpaka sasa na wengine 4 ni majeruhi.

Habari za awali ni kwamba waliotupiwa mabomu hayo ni baadhi ya viongozi wa dini ambao walikuwa wametoka msikitini kutoa mawaidha na wakati wanatoka na kuingia kwenye gari lao ndipo mtu asiyejulikana alitupa bomu hilo (inasemekana ni zaidi ya moja).

Habari kamili nikipata zaidi nitawajuza.

========
More:


attachment.php

hii picha haifai hapa... mods wanatakiwa kuwa fair

ile ya jamaa wa arusha aliyepigwa risasi na majambazi iliondoka fasta kutokana na kusetiri marehemu

it has to be fair all the way
 
Muungano bado upo, sarakasi; ukivunjika itakuwaje? Na bado. Waumini wa muungano tunasema utadumu tu ili kuwalinda ndugu zetu wazanzibari wasio na hatia. Kina jusa ni wa kupuuzwa.
Mkuu mbona unachanganya mada soma uzi vizuri maudhui yake ndipo uchangie,sio kila kitu ni siasa.
Haya yaliyotokea Zanzibar ni sawa na yaliyojiri juzijuzi pale Mombasa nchini Kenya sijui nako ni mambo ya muungano.
 
Guruneti la kurusha kwa mkono,likitolewa pini,likirushwa lina tabia ya kugonga ardhini na kujiinua mita 2-3,ndipo hupasuka na kurusha vipande vinavyogawanyika na kusambaa mita 10-20 kwa usawa huo huo wa mita 2-3.
Ndicho kilichomuua Shekhe hapo,kaharibika tumboni mpaka usawa wa kifua. Kajeruhiwa mno kifua,mapafu na moyo wake. Bila shaka kifua chake chote kimajaa vipande hivyo vya vyuma.
NI UKATILI MKUBWA SANA KAFANYIWA KIUMBE HUYU.
EEH MWENYEZI MUNGU TUSIMAMIE DHIDI YA UKATILI HUU WA KIFIRAUNI KWA WATUMISHI WAKO.
 
Hivi Zanzibar kwanini isiwe kama mkoa mwingine tu wa bara.., hii itatuwezesha kuwanyoosha vizuri hawa watu..!
 
Mlifanya mkutano Diamond Jubilee kuamasisha vijana Jihad na kuua mapadre, mkazunguka nchi nzima mkiongozwa na Ilunga, sasa vijana wamekolea, hawasikii tena, juzi wameua shekhe mpinga jihad Mombasa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom