Mlipuko watokea Darajani Zanzibar. Mmoja auawa

Status
Not open for further replies.
Leo waislamu wanachinjana Syria, Iraq, Pakistan, Misri lakini bado kuna wapuuzi wanaojidanganya kuwa kila tukio dhidi ya muislamu lina mkono wa Vatican au Mmisheni! Watu wanawanyonyeeshea vidole wakina Anti-Balaka bila kujua hiyo Anti imetokea wapi? Bila kujua wakina Seleka ni wakina nani!

Mpaka hapo tutakapolaani uovu wowote bila kutafuta visingizio kwa wale wenye imani yetu, matendo maovu kama haya yataendelea kutokea.

Amandla.....
mambo hayatokei tu,yanapangwa,bomu la mkono hulipati dukani,

hao jamaa baada ya kumlima risasi padri mushi tena kuelekea xmasi,walirenga kuchochea mtafaruku kati ya dini mbili,bahati watu wakawa watulivu,sasa wanageuza upande wa pili kujaribu kuripua mashehe ili wapate reaction ileile.
Divide and rule is the name of the game nowadays.
 
Poleni sana ndugu zetu wa visiwani.
Kumbukeni mlificha wachomaji na walipuaji wa makanisa.
Mtaendelea kuuana mpaka mrekebishe lile tone la damu la kwanza lililomwgwa kwenye ardhi yenu.
Wakati mwingine kama huna cha kuandika the si vibaya kukaa kimya!...
 
Hili ndo tatizo lenu na Nchi hii nyinyi ndio mtaitia kwenye Majanga...walopigwa ni waislam halafu bado mnashindwa kuamini kua wapigaji wanaweza kua si Waislam....Je angeuliwa Mkiristo? mngeona ata Jeshi la Polisi la tanzania halifai kuchunguza tukio...mkaita FBI.....iteni basi ao FBI!
fbi mpaka auawe bishop...
 
mambo hayatokei tu,yanapangwa,bomu la mkono hulipati dukani,

hao jamaa baada ya kumlima risasi padri mushi tena kuelekea xmasi,walirenga kuchochea mtafaruku kati ya dini mbili,bahati watu wakawa watulivu,sasa wanageuza upande wa pili kujaribu kuripua mashehe ili wapate reaction ileile.
Divide and rule is the name of the game nowadays.

nikumkumbuka fr mushi machozi yananitoka hawa uamsho ni magaidi wabaya sana.
r.i.p shehe mpinga JIHAD na ugaidi
 
Wanajamii nafkiria kuna watu wakiona mada tu wanachangia moja kwa moja bila kujua anaemjibu alikuwa ana maana gani.

Jibu la matukioa haya ni jepesi sana kama ifuatavyo:-
Mfano:Sheikh alieuwawa Mombasa na vijana wa kiislam alikuwa ni mfano kama wa Sheikh alieuwawa Zanzibar,wote lengo lao ni kupinga machafuko,na kuweka wazi misimamo ya Amani kidini kama alivyoamrisha Mtumwe wetu S.A.W.
Wote walikuwa ni wahubiri wa Amani,nakundi lilomuuwa ni kundi la kupinga amani na kutaka Dola ya kiislam na kujitenga.
Nakumbuka iliwahi kusemwa kwamba Mombasa wanataka wajitenge iwe Nchi ya Dola ya Kiislam,na hili limekuwa likifanyiwa majaribio mara kadhaa,na kama Sheikh ukionekana unatetea tu basi unawekwa kwenye Mtego.

Sasa kwa Zanzibar,hakuhitaji kupepesa jicho hii issue ni UAMSHO.
Kuna mwanajamii mmoja aliwahi kuandika kwamba Serikali ilipofuta mashtaka yote ya kikundi cha uamsho pale ndio imejiroga.
Kama walishindwa kupata ushahidi wakati ule ambao watu kadhaa walikufa na kujeruhiwa ikiwemo kifo cha askari ambae ni dola.Na hatimae kusema hakuna hatia na wapo huru,hili ndio janga na halizibiki tena.

Na watu waliwahi ku comment wakati ule kwamba hawa jamaa kama wamewaachia basi makubwa zaidi yanakuja.Ndio haya sasa.

Sheikh aliefariki hata CD zake ukisikiliza ni za Kuhubiri amani na mshikamano kwa waislam,kuheshim viongozi na mamlaka zilizopo kama alivyoamrisha Mungu,sasa alikuwa anachukuliwa kama Sumu kwa wapenda Uamsho(yaani misimamo mikali ya kidini na kisiasa).
Ifahamike kwamba Lengo la Uamsho ni kuitenga Zanzibar iwe Dola ya kiislam.
Sasa wale wote wanaotaka kuonyesha hali hii basi wanakumbwa na balaa kubwa kamahilo.
Niwapeni mfano mdogo tu kabla yatukio hili,Zanzibar ilikuwa katika harakati za Shughuli ya Ijitmai ambapo wageni wengi sana ndani na nje ya nchi uhudhuria katika kongamano hilo.Sasa wiki iliyopita siku ya Ijumaa kama sikosei kulikuwa na makundi kama matatu,yamejigawa maeneo ya Amani round about kuja mpaka Mwanakwerekwe,makundi hayo yalikuwa na Bendere za Taifa,ilikuwa mada ya Jioni hivi na baadae yalitawanyika na kuanza kujigawa nakupita maeneo huku Wakiimba,"Tunatakaaa Nchiiii Yeetuuu,Tunatakaaa Nchiiii Yeetuuu".

Wakati makundi hayo yakipita bila hata kibali haikujulikana kama serikali ilikuwa haijajua au vipi na haijulikani nani aliyeratibu upangwaji wa makundi yale,,na ilikuwa kwa siku moja tu.
Sasa hata wiki haijaisha kazi ndio hiyo.

Siombei mabaya lakini kwakuachia wale jamaa wa UAMSHO tu basi hapo ndio serikali ilipojimaliza yenyewe.Na kama pale walikosa ushahidi katika uwazi wa ukweli kama ule basi hawatopata tena ushahidi wanaotaka wao.
Mungu Amlaze Mahala Pema Peponi Sheikh wetu "Ameen"
Na ifahamike kwamba unapomuuwa kiongozi wa Dini,mungu ataanza kukuhukumu hapa hapa duniani kabla hujakutanana nae uso kwa uso
 
Story ndefu lakini pia imawezeka ni watu kama nyie na makafiri wengine wameua thn kutia fitina huyu aah alikua siasa baridi ili kugombanisha waislam baina yao.
Hii ni mbinu inatumika.serikali inaua masheikh wale na sio siasa kali.
Na huyu ameuliwa ni same system .
System ndio yenye mabomu grenade.
Lengo lao kuwafitini watu wa znz wagombane na waache ajenda yao ya kudai zanzibar yenye mamlaka kamili.
Yote haya wanafanya wao au mawaka wao kama wewe na unamuja na dhana ya wagawe wagombane.
Lakini znz wanajitambua haeafikishwi huko.
Utambue znz hawana ugomvi wa madhehebu.kuna ansari kuna suni kuna shia kuna ibadhi na wengine wote wapo pamija.
Uamsho walipokua wamihamasisha watu kuupinga muungano waliungwa mkono na umma wote wa kiislam bila kujali madhehebu yao ilhali hao uamsho wengi wakijulikana ni ahli sunna.
Hii mi kuthibitidha hakuna ugomvi wa kimadhehebu kila mtu na anakoa amini lakini wote ni waislam.
Huyu sheikh kama ni anahubiri amani zanzibar kuna masheikh na wasomi zidi yake nao pia kila siku wanahubiri amani.
Na znz haina ukwasi wa masheikh na maulamas kiasi cha kuwa wafuasi wa masheikh wa nje ya znz.wanajitosheleza alhmdulilah wana vyuo vingi na darsa asili nyingi watu kutoka nje huja kujifunza
Huyu sheikh alieuliwa hana impact yoyote katika jamii ya wa znz wala hajulikani hivyo amekua soft target makusudi .
Na walofanya haya sio waislam wa znz wala wa bara bali na maadui wa uislam na nchi ya znz .
Na utaona serikali inakuja na majibu mepesi kama yako kwani wanajua kinachiendelea
 
Katika waislamu wa msimamo mkali kama Uamsho lazima wawe wamehusika..Kwa ushahid zaidi ingia FB kwenye page ya uamsho ijulikanayo kama" Jumuiya Ya Uamsho naMihadhara Ya KiislamuZanzibar "Utakutana na post waliyotuma tarehe 28/4/2014 yenye kuonyesha negative attitude dhidi ya huyo sheikh na msimamo wake wa kupinga JIHAD.Kwa kifupi ni shehe aliyekuwa hakubariki na wenye mkali wa kiislamu.
Itakuwa hawajamuelewa.
Hapingi Jihadi ila Jihad ina shuruti zake na hapo ndipo anaposimamia; kukosekana sharti hii, kukosekana sharti lile n.k

Vilevile suluhisho la matatizo tuliyo nayo Waislamu ,tufanye nini? je, tukamate silaha kupambana? hapo suluhisho linalotoka kwenye daawah yenyewe anayoisimamia ni Waislamu kurudi kwenye Ilmu na Taqwa..

Sikubaliani na kila anachokisema lakini anayoyasema yana asili katika dini sasa kama kuna mwingine anayeona kuwa hoja zake hazina mshiko basi alete naye hoja zake zisikike badala ya kupiga watu mabomu.
 
Story ndefu lakini pia imawezeka ni watu kama nyie na makafiri wengine wameua thn kutia fitina huyu aah alikua siasa baridi ili kugombanisha waislam baina yao.
Hii ni mbinu inatumika.serikali inaua masheikh wale na sio siasa kali.
Na huyu ameuliwa ni same system .
System ndio yenye mabomu grenade.
Lengo lao kuwafitini watu wa znz wagombane na waache ajenda yao ya kudai zanzibar yenye mamlaka kamili.
Yote haya wanafanya wao au mawaka wao kama wewe na unamuja na dhana ya wagawe wagombane.
Lakini znz wanajitambua haeafikishwi huko.
Utambue znz hawana ugomvi wa madhehebu.kuna ansari kuna suni kuna shia kuna ibadhi na wengine wote wapo pamija.
Uamsho walipokua wamihamasisha watu kuupinga muungano waliungwa mkono na umma wote wa kiislam bila kujali madhehebu yao ilhali hao uamsho wengi wakijulikana ni ahli sunna.
Hii mi kuthibitidha hakuna ugomvi wa kimadhehebu kila mtu na anakoa amini lakini wote ni waislam.
Huyu sheikh kama ni anahubiri amani zanzibar kuna masheikh na wasomi zidi yake nao pia kila siku wanahubiri amani.
Na znz haina ukwasi wa masheikh na maulamas kiasi cha kuwa wafuasi wa masheikh wa nje ya znz.wanajitosheleza alhmdulilah wana vyuo vingi na darsa asili nyingi watu kutoka nje huja kujifunza
Huyu sheikh alieuliwa hana impact yoyote katika jamii ya wa znz wala hajulikani hivyo amekua soft target makusudi .
Na walofanya haya sio waislam wa znz wala wa bara bali na maadui wa uislam na nchi ya znz .
Na utaona serikali inakuja na majibu mepesi kama yako kwani wanajua kinachiendelea

umepewa fact hapo nz mwenye uzoefu na huko Zanzibar Spices wewe waleta conspiracy theory zako..
 
Last edited by a moderator:
Itakuwa hawajamuelewa.
Hapingi Jihadi ila Jihad ina shuruti zake na hapo ndipo anaposimamia; kukosekana sharti hii, kukosekana sharti lile n.k

Vilevile suluhisho la matatizo tuliyo nayo Waislamu ,tufanye nini? je, tukamate silaha kupambana? hapo suluhisho linalotoka kwenye daawah yenyewe anayoisimamia ni Waislamu kurudi kwenye Ilmu na Taqwa..

Sikubaliani na kila anachokisema lakini anayoyasema yana asili katika dini sasa kama kuna mwingine anayeona kuwa hoja zake hazina mshiko basi alete naye hoja zake zisikike badala ya kupiga watu mabomu.

good analysis.
ahsanta
 
Wanajamii nafkiria kuna watu wakiona mada tu wanachangia moja kwa moja bila kujua anaemjibu alikuwa ana maana gani.

Jibu la matukioa haya ni jepesi sana kama ifuatavyo:-
Mfano:Sheikh alieuwawa Mombasa na vijana wa kiislam alikuwa ni mfano kama wa Sheikh alieuwawa Zanzibar,wote lengo lao ni kupinga machafuko,na kuweka wazi misimamo ya Amani kidini kama alivyoamrisha Mtumwe wetu S.A.W.
Wote walikuwa ni wahubiri wa Amani,nakundi lilomuuwa ni kundi la kupinga amani na kutaka Dola ya kiislam na kujitenga.
Nakumbuka iliwahi kusemwa kwamba Mombasa wanataka wajitenge iwe Nchi ya Dola ya Kiislam,na hili limekuwa likifanyiwa majaribio mara kadhaa,na kama Sheikh ukionekana unatetea tu basi unawekwa kwenye Mtego.

Sasa kwa Zanzibar,hakuhitaji kupepesa jicho hii issue ni UAMSHO.
Kuna mwanajamii mmoja aliwahi kuandika kwamba Serikali ilipofuta mashtaka yote ya kikundi cha uamsho pale ndio imejiroga.
Kama walishindwa kupata ushahidi wakati ule ambao watu kadhaa walikufa na kujeruhiwa ikiwemo kifo cha askari ambae ni dola.Na hatimae kusema hakuna hatia na wapo huru,hili ndio janga na halizibiki tena.

Na watu waliwahi ku comment wakati ule kwamba hawa jamaa kama wamewaachia basi makubwa zaidi yanakuja.Ndio haya sasa.

Sheikh aliefariki hata CD zake ukisikiliza ni za Kuhubiri amani na mshikamano kwa waislam,kuheshim viongozi na mamlaka zilizopo kama alivyoamrisha Mungu,sasa alikuwa anachukuliwa kama Sumu kwa wapenda Uamsho(yaani misimamo mikali ya kidini na kisiasa).
Ifahamike kwamba Lengo la Uamsho ni kuitenga Zanzibar iwe Dola ya kiislam.
Sasa wale wote wanaotaka kuonyesha hali hii basi wanakumbwa na balaa kubwa kamahilo.
Niwapeni mfano mdogo tu kabla yatukio hili,Zanzibar ilikuwa katika harakati za Shughuli ya Ijitmai ambapo wageni wengi sana ndani na nje ya nchi uhudhuria katika kongamano hilo.Sasa wiki iliyopita siku ya Ijumaa kama sikosei kulikuwa na makundi kama matatu,yamejigawa maeneo ya Amani round about kuja mpaka Mwanakwerekwe,makundi hayo yalikuwa na Bendere za Taifa,ilikuwa mada ya Jioni hivi na baadae yalitawanyika na kuanza kujigawa nakupita maeneo huku Wakiimba,"Tunatakaaa Nchiiii Yeetuuu,Tunatakaaa Nchiiii Yeetuuu".

Wakati makundi hayo yakipita bila hata kibali haikujulikana kama serikali ilikuwa haijajua au vipi na haijulikani nani aliyeratibu upangwaji wa makundi yale,,na ilikuwa kwa siku moja tu.
Sasa hata wiki haijaisha kazi ndio hiyo.

Siombei mabaya lakini kwakuachia wale jamaa wa UAMSHO tu basi hapo ndio serikali ilipojimaliza yenyewe.Na kama pale walikosa ushahidi katika uwazi wa ukweli kama ule basi hawatopata tena ushahidi wanaotaka wao.
Mungu Amlaze Mahala Pema Peponi Sheikh wetu "Ameen"
Na ifahamike kwamba unapomuuwa kiongozi wa Dini,mungu ataanza kukuhukumu hapa hapa duniani kabla hujakutanana nae uso kwa uso
Mkuu, wewe ni muislam kweli, sidhani.

Kawaida huwa muislam hana kosa mbele ya muislam mwingine, kosa lake huwa anapewa asie-muislam. Mkuu huoni unaenda kinyume na maazimio yenu. Hebu angalia waislam wanavyochangia humu halafu fananisha na wewe unavyochangia, havifanani kabisa.
 
Wameshaanza kutengeneza filamu nyingine ili mameno aliyotoa yule Lukuvi kanisani yaonekane ni kweli, Hii ni filamu imeeditiwa Tanganyika kuchezwa wamepanga wakaicheze Zanzibar.

Hivi Serikali hii korapti ikishafanya mambo yake kwanini wawaingize wananchi?

Hawa ni wahujumu wa visiwa vya Zanzibar wanaendeleza michezo yao na kwa hili Lukuvi haliwezi kumuepuka.
 
usianze kuchoche chuki za kidini bibie...mimi khofu mpaka sasa hizi ni fitna za wakenya kuanza kui destabilize destination ya Utalii wa Zanzibar na Tanzania kwa Jumla....Kenya wanatajua Roho za waislamu hazina thamani na wanajua tuna mgogoro wa kikatiba...wanataka kuitumia hii nafasi ili na tanzania isiwe Salama..Tuacheni udini tuanze kushuhulikia usalama wa Nchi Yetu...Kenya si Katika majirani wazuri... Naliomba Jeshi la Plisi liangalie Mipaka yetu vizuri...
haya machafuko hayataisha, badala ya kudhibiti watu waliohusika mnatafuta wasiohusika na kuwabambikia lawama.
 
Hapana mkuu, kama una bifu na jirani yako muislam muite muelewane. Janga hapa ni CCM wanaotaka kutugawa kwa misingi ya dini,ukanda na ukabila. CCM ni janga la kitaifa,hawa jamaa ni manyani. Wako tayari hata kuua mtu wao ili wasingizie wapinzani.

Udini sio tatizo la CCM, udini umeanza kuhubiriwa siku nyingi mno kwenye nyumba za ibada. Hata CCM itoke madarakati udini utabaki palepale. Ukumbuke machafuko ya kidini hayakupewa nafasi na serikali za CCM za awamu zilizopita. Awamu ya nne ni awamu ya CCM dhaifu kwenye kudhibiti machafuko ya kidini.
Ufumbuzi ni viongozi wa dini kukemea machafuko, kama tunavyoona viongozi wa dini wanaohubiri amani wanauawa, basi tujue kwamba tanzania hatuko mbali kupoteza amani tuliyonayo. Vinginevyo ije serikali inayoongoza kwa mkono wa chuma.
 
mambo hayatokei tu,yanapangwa,bomu la mkono hulipati dukani,

hao jamaa baada ya kumlima risasi padri mushi tena kuelekea xmasi,walirenga kuchochea mtafaruku kati ya dini mbili,bahati watu wakawa watulivu,sasa wanageuza upande wa pili kujaribu kuripua mashehe ili wapate reaction ileile.
Divide and rule is the name of the game nowadays.

hivyo eeh.........
Una akili sana wewe
Wewe endelea kulazimisha kujidanganya. Au ndio taqiyya?

Watu kama nyinyi ndio mnaosababisha hayo machafuko yasitafutiwe ufumbuzi muafaka.
 
They are killing one another just like the way it is ascribed in their diabolical book.
 
Story ndefu lakini pia imawezeka ni watu kama nyie na makafiri wengine wameua thn kutia fitina huyu aah alikua siasa baridi ili kugombanisha waislam baina yao.
Hii ni mbinu inatumika.serikali inaua masheikh wale na sio siasa kali.
Na huyu ameuliwa ni same system .
System ndio yenye mabomu grenade.
Lengo lao kuwafitini watu wa znz wagombane na waache ajenda yao ya kudai zanzibar yenye mamlaka kamili.
Yote haya wanafanya wao au mawaka wao kama wewe na unamuja na dhana ya wagawe wagombane.
Lakini znz wanajitambua haeafikishwi huko.
Utambue znz hawana ugomvi wa madhehebu.kuna ansari kuna suni kuna shia kuna ibadhi na wengine wote wapo pamija.
Uamsho walipokua wamihamasisha watu kuupinga muungano waliungwa mkono na umma wote wa kiislam bila kujali madhehebu yao ilhali hao uamsho wengi wakijulikana ni ahli sunna.
Hii mi kuthibitidha hakuna ugomvi wa kimadhehebu kila mtu na anakoa amini lakini wote ni waislam.
Huyu sheikh kama ni anahubiri amani zanzibar kuna masheikh na wasomi zidi yake nao pia kila siku wanahubiri amani.
Na znz haina ukwasi wa masheikh na maulamas kiasi cha kuwa wafuasi wa masheikh wa nje ya znz.wanajitosheleza alhmdulilah wana vyuo vingi na darsa asili nyingi watu kutoka nje huja kujifunza
Huyu sheikh alieuliwa hana impact yoyote katika jamii ya wa znz wala hajulikani hivyo amekua soft target makusudi .
Na walofanya haya sio waislam wa znz wala wa bara bali na maadui wa uislam na nchi ya znz .
Na utaona serikali inakuja na majibu mepesi kama yako kwani wanajua kinachiendelea

Kama kuna Zero basi wewe ni zaidi ya zero.Kwanza unaposema Makafiri kwa imani unamaanisha Wakristo na Murtad.Na humu tunazungumzia swala la usalam bila kuathiri imani ya mtu.
Umekurupuka tu wala hujasoma na kuelewa,nyie ndio wale wale.
Sasa wewe na uzuzu wako eti unasema hajauwawa na waislam wa Znz,ila ni maadui wa Uislam,huu ni uzuzu na ujuha wa hali ya juu.
Na ndio maana nilikutolea mfano wewe division zero,Yule Sheikh alieuwawa Kenya ni kwamba Serikali ya kenya ilikiri ni Vijana wa Kiislam Wakenya,sasa kwakuwa imetokea Zanzibar basi unasema eti sio hapa ukijenga Image ya Bara ebbo.
Halafu mbaya zaidi ulicho comments hata hakieleweki.Mwalim wako alipata tabu sana hapo ulipoishia.
Yaani kila kinachofanyika mnasema ni Bara ndio wamesababisha,nyambaffff,mbona Koo za ki Sultan zimeacha kizazi cha wanaolawitiana na Jumba la Kumbumbuku la Bikhole aliekuwa Shoga mbona hamsemi,mmekaa kimyaa ila angekuwa amajenga cheif wa bara mngepiga zogo,na Huko Bikhole mbali,we nenda pale Maruhubi Palace,Sultan alipoowa wanawake karibu ya Mia,ingekuwa Chief mngesema wabara ndio wameleta hayo.
Yale Mashoga yaliyojaa Pale Bwanani usiku na ukiptia pale Kisiwandui,kikwajuni na mji Mkongwe Telee.
Halafu wewe sijui kama sio yule alienunuliwa Vespa na Kiringo.
 
Taarifa kutoka FB ya ZNZ wikileaks
Imeandikwa na nuramo // 18/05/2014 // Habari // 9 Maoni
“BREAKING NEWS”
10320506_1409483915999001_2309725790658998710_n
HII NI TAARIFA YA TAHADHARI KWA WAISLAMU WOTE”
TAARIFA ZILIZOTUFIKIA HIVI PUNDE KUTOKA KWA NDUGU YETU JINA TUNALIHIFADHI AMBAYE AMESHUHUDIA KWA MACHO YAKE NA KUSIKIA KWA MASIKIO YAKE ALIPOKUWA ENEO HILO AKIJIFANYA KAMA NI MWENZAO.
KUTOKA JIMBO KUU LA KANISA KATOLIKI MWANZA KARIBU NA UWANJA WA SAHARA LINATOA MAFUNZO YA KIVITA KWA AJILI YA KUWAUWA WAISLAMU KAMA VILE WANAVYOFANYA WANAMGAMBO WA ANTI BARAKA KULE AFRIKA YA KATI. NA TAARIFA IKO HIVI.
SIKU YA JANA VIJANA TAKRIBANI ZAIDI YA 80 WAKIKRISTO WALIKUWA WAKIPATA MAFUNZO YA KARETI NA JUDO NYUMA YA KANISA HILO HUKU WAKIWA NA MITI WALIOICHONGA MFANO WA BUNDUKI WAKITUMIA KUFANYIA MAZOEZI YA SILAHA. KIONGOZI ALIYEKUWA AKITOA MAFUNZO HAYO JINA LAKE HALIKUTAMBULIKA MARA MOJA ALINUKULIWA AKISEMA “SHANGAENI MNAFUNDISHWA HAMUELEWI WENZENU ILINGA, MBEYA NA RUKWA WAPO SAWA WAMEIVA NYIE NDO BADO MANALEGEA LEGEA NA HILI NI ZOEZI LA NCHI NZIMA MNAJUA MUDA UMEKWISHA INATAKIWA TUANZE KAZI MMEELEWA? WAKAITIKIA NDIO! KIONGOZI HUYO AKAENDELEA KUSEMA MSIOFU AU MNAOGOPA KUFA? MSIJALI KILA KITU KIPO SAWA ANGALIENI AFRIKA YA KATI VIJANA WAMEFANYA KAZI NZURI SANA HAKUNA CHA MAJINI WALA SHETANI WOTE WAMEFUKUZWA HIVYO BWANA ANAWEZA.
HAYO NDIO MANENO ALIYOKUWA AKIWAAMBIA KIONGOZI HUYO ALIYEKUWA AKITOA MAFUNZO YA KARETI NA JUDO KWA VIJANA HAO WAKIKRISTO
lisemwalo lipo kama halipo lipo njiani https://www.facebook.com/?react=AQDsN0kopXwVRls8
HIVYO TUNATOA TAHADHARI KWA WAISLAMU WOTE. PIA VIONGOZI WA MISIKITI WAWAFAHAMISHE WAISLAMU MISIKITINI JUU YA HATARI HII AMBAYO HATUJUI HAWA WATU WAMEJIPANGAJE.
 
kisonge ccm.jpg

Kisonge hii ni maskani kuu ya ccm jee watu kama hawa hawawezi kufanya unyama wa jana pale darajani. hii maskani ndio ilofanya uhalifu wakasingiziwa uamsho.
maskani hii ya ccm wanaweza kuwa katika list ya washukiwa.
hili ni bango lao la leo asubuhi
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom