Mliooa mnastahili pongezi

Mliooa mnastahili pongezi

Mkuu hujui kuwa mke ni zaidi ya ndugu kwako, kwanini unahesabu zaidi mali, Mbona ukioa mke anakukabidhi maisha yake. Nahisi maisha ya mke na muda wake vina thamani kuliko mali unazozitaja.
na maisha yangu namkabidhi nani!?..siku hizi hakuna ndoa mapenzi kuna ndoa mali
 
there is offcourse ila kwanini uache kufanya kitu kwa sababu wengine wameshindwa.wewe sio wao kumbuka
last year my sis alianza ivf procedure kupata mtoto .she is 46 now.story ni nyingi success rate ni ndogo sana .lakini akaniambia mdogo wangu miss lazima nifanye hichi kitu .just imagine alikuwa amebakiwa na mayai matano.yakarutubishwa yote yakabaki matatu then mimba akabaki mtoto mmoja.walipandikizwa wamama 20 wakabeba mimba 8 wakazaa wanne.
our baby is 3 month now very healthy uje umuone.
toka hapo nimejifunza kutoangalia kushindwa kitu kwa wengine aisee.kila mtu ana destiny yake hapa duniani na mipangilio yake.
Hapo kila MTU na destiny yake tupo pamoja sana
 
Mtoto atapelekwa shule na mnyanya yake
kumbuka kamuti ya mshale wa hakasimami usije sema hatukukwambia
 
Wakati wa Bwana ukifika ndo huwa na maamuzi sahihi.

Muwe na jumapili tulivu
 
Back
Top Bottom