BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,769
- 288,283
Huyo dada anawaza mwanaume anamimba kazi kweli kuishi na vitambi kila siku kuitafuta mboo chini ya nyama nakutafuta style maalumu basi akiwaza tu anapata hasira ndio maana hana rahaDuh...huyu dada kalazimishwa?

"unamfikiria yeye na watoto wake". Kweli wewe bado.Asante kaka, acha tu, joto la jiwe tunalipata, heri kugawana mali, tatizo ni vituko ndani ya nyumba kuanzia kununiwa, kunyimwa nani hii kwa sababu "zisizojulikana", watoto kufokewa bila sababu, ukipata hela basi huna uhuru nazo tena sababu cha kwanza wamfikiria yeye na watoto wake, ratiba yako wanaanza wao ndio wewe, basi shida tupu, ila tuliyataka wenyewe, si mchezo..
Hongera kwa kuwa singo mkuu, you are not missing anything bro apart from mambo hayo juu..Ni shida..
Huyo mkeo ana shida zake, lkn ndoa tamu tu mbonaAsante kaka, acha tu, joto la jiwe tunalipata, heri kugawana mali, tatizo ni vituko ndani ya nyumba kuanzia kununiwa, kunyimwa nani hii kwa sababu "zisizojulikana", watoto kufokewa bila sababu, ukipata hela basi huna uhuru nazo tena sababu cha kwanza wamfikiria yeye na watoto wake, ratiba yako wanaanza wao ndio wewe, basi shida tupu, ila tuliyataka wenyewe, si mchezo..
Hongera kwa kuwa singo mkuu, you are not missing anything bro apart from mambo hayo juu..Ni shida..
"unamfikiria yeye na watoto wake". Kweli wewe bado.
Huyo mkeo ana shida zake, lkn ndoa tamu tu mbona
Kweli tuko tofauti, mimi natamani kuoa ila tatizo ninaempenda hayupo tayari
tafuta aliye tayari kuwa na wewe, huyo yuko tayari kwa mwingine sio wwtupo wengi mkuu..yani mimi sijui kama ntaoa mpaka siku nakufaYou spoke my thoughts, kuoa ni uamuzi mmoja wa kishujaa sana.
Hii pia iko kwenye list ya maamuzi magumu.
Kwani wewe hujasikia mwanandoa akiumwa mwenzie ANAMKIMBIA? Sio guarantee eti ukioa ndio utahudumiwa na ukiemuoa katika shida anaweza kukimbia vile vile.
Mali zako will pay for medical attention kuanzia kuogeshwa hadi dawa.
wambie hao mzee baba...mali ndio kila kitu hapa duniani...mwanaume hasifiwi mke mwanaume anasifiwa pesa,mali
Am glad for you... Now let me starting visiting you regularly bibie! Uko tayari?Everything is just fine, you're missed
Yo welcome my broda.... Hiyo tayari veeepeAm glad for you... Now let me starting visiting you regularly bibie! Uko tayari?
Wewe unaoa lini? Kuna siku ulitamani mtoto, sasa sema ndoa lini mkuu?Mkeo sio ndugu yako.