Mliooa mnastahili pongezi

Mliooa mnastahili pongezi

badala ya kutafuta nimtafutie, badala ya kulala nimlaze, badala ya kuzaa nimzalishe, badala ya kutajirika nimtjilishe, badala ya kuwasaidia wazazi wangu niwasaidie wazazi wake, badala ya kununua gari nimnunulie yeye, badala ya kunenepa nimnenepeshe, badala ya kutoka out nimtoe out, ongezea na ww mengine. hakika mwanamke sio ndugu yangu
 
Mkeo sio ndugu yako.
Ni zaidi ya ndugu chief...ukitaka watoto utafanyaje?utaowa nduguyo au utajizalisha?mwanzo nilikuwa na mawazo kama yako ila wakati ulinilazimisha niwe na mke,ni naturally utajipangia kwamba hutolala kwa week nzima na utaweza ila mengine kama binadam uliekamilika huwezi kuyakwepa.
 
badala ya kutafuta nimtafutie, badala ya kulala nimlaze, badala ya kuzaa nimzalishe, badala ya kutajirika nimtjilishe, badala ya kuwasaidia wazazi wangu niwasaidie wazazi wake, badala ya kununua gari nimnunulie yeye, badala ya kunenepa nimnenepeshe, badala ya kutoka out nimtoe out, ongezea na ww mengine. hakika mwanamke sio ndugu yangu
Aisee....
 
Hivi wewe unafikiri mungu hana akili eeeh......unadhani kwa nini alipomuumba adamu akagundua kuna kitu hakipo sawa akaamua kumuumba mwenza wake.......sasa wewe usioe ubaki hivyo hvyo .......halafu naskia harufu ya roho mbaya kutoka kwako
Habari za Jumapili.

Napenda kutoa pongezi kwa wwanaume wenzangu mliooa. Kuamua kuoa si jambo rahisi hasa ukifikiria unakabidhi UHURU na MALI ZAKO kwa mtu ambae huna undugu nae!!

Mawazo kama haya huwa yananijia Jumapili ambayo ni siku ninayofurahia sana wiki nzima. Jumapili njema jamani mimi nasikiliza Easy Sunday Clouds Fm huku nikisoma kitabu taratibu.
Hebu nioneshe wapi nimesema sitaki kuoa.
 
Ni kweli wanastahili pongezi kwa kuwa kuna faida nyingine nyingi wanazipata katika ndoa zinazozidi umuhimu wa UHURU na MALI ZAO.
Umeshawahi kufikiria ikitokea ukaumwa sana kiasi cha kushindwa hata kujiogesha, sio uhuru wako wala mali zako zitakazo kusaidia?
UTU ni bora kuliko UHURU na MALI.

Hatahivyo, ukiona mtu anajutia ndoa yake jua alikosea kuoa,ila ukipatia kuoa hutahofia UHURU wala MALI ZAKO.
Kwani wewe hujasikia mwanandoa akiumwa mwenzie ANAMKIMBIA? Sio guarantee eti ukioa ndio utahudumiwa na ukiemuoa katika shida anaweza kukimbia vile vile.
Mali zako will pay for medical attention kuanzia kuogeshwa hadi dawa.
 
  • Thanks
Reactions: ywf

acha ukauzu wewe.njoo nikuunganishe na mtoto wa bilionea hatotumia hata centi yako
 
But ur money will never give you unconditional love
 
acha ukauzu wewe.njoo nikuunganishe na mtoto wa bilionea hatotumia hata centi yako
Ha ha ha mimi sio Mario.....on a serious note kuna mtoto wa bilionea nilimkataa sasa hivi najuta maanake masikini wenzangu nao balaa!
 
Ha ha ha mimi sio Mario.....on a serious note kuna mtoto wa bilionea nilimkataa sasa hivi najuta maanake masikini wenzangu nao balaa!
na nikuambie kitu hakuna mwanamke asiependa kula hela ya mwanaume hata awe na hela vipi.wewe kusanya tu ila ipo siku zitaliwa tu
 
Back
Top Bottom