Mliooa mnastahili pongezi

Mliooa mnastahili pongezi

Asante kaka, acha tu, joto la jiwe tunalipata, heri kugawana mali, tatizo ni vituko ndani ya nyumba kuanzia kununiwa, kunyimwa nani hii kwa sababu "zisizojulikana", watoto kufokewa bila sababu, ukipata hela basi huna uhuru nazo tena sababu cha kwanza wamfikiria yeye na watoto wake, ratiba yako wanaanza wao ndio wewe, basi shida tupu, ila tuliyataka wenyewe, si mchezo..
Hongera kwa kuwa singo mkuu, you are not missing anything bro apart from mambo hayo juu..Ni shida..
 
Wakati sahihi ukifika, hutaona ugumu wala kujiuliza maswali yasiyo na majibu. Hold on hadi mda ufike, then ukutane na mtu ambaye hutotamani kuwa nae mbali.
.....maswali yasiyo na majibu...
 
Asante kaka, acha tu, joto la jiwe tunalipata, heri kugawana mali, tatizo ni vituko ndani ya nyumba kuanzia kununiwa, kunyimwa nani hii kwa sababu "zisizojulikana", watoto kufokewa bila sababu, ukipata hela basi huna uhuru nazo tena sababu cha kwanza wamfikiria yeye na watoto wake, ratiba yako wanaanza wao ndio wewe, basi shida tupu, ila tuliyataka wenyewe, si mchezo..
Hongera kwa kuwa singo mkuu, you are not missing anything bro apart from mambo hayo juu..Ni shida..
Duh kazi ipo...
 
Kuna ndugu wanauwana kugombea mali. Pia mali ni vitu vya kupita unakufa unaviacha tu. Ukipata mwanamke wa ukweli hutojuta na anaweza kuwa msaada mkubwa wa kuongeza mali.
Au huyo huyo mke akuue kisa mali.....!
 
Habari za Jumapili.

Napenda kutoa pongezi kwa wwanaume wenzangu mliooa. Kuamua kuoa si jambo rahisi hasa ukifikiria unakabidhi UHURU na MALI ZAKO kwa mtu ambae huna undugu nae!!

Mawazo kama haya huwa yananijia Jumapili ambayo ni siku ninayofurahia sana wiki nzima. Jumapili njema jamani mimi nasikiliza Easy Sunday Clouds Fm huku nikisoma kitabu taratibu.
Unakauchoyo,ubinafsi na roho mbaya,sio kila mwanamke anafuata Mali kwa mume
 
Habari za Jumapili.

Napenda kutoa pongezi kwa wwanaume wenzangu mliooa. Kuamua kuoa si jambo rahisi hasa ukifikiria unakabidhi UHURU na MALI ZAKO kwa mtu ambae huna undugu nae!!

Mawazo kama haya huwa yananijia Jumapili ambayo ni siku ninayofurahia sana wiki nzima. Jumapili njema jamani mimi nasikiliza Easy Sunday Clouds Fm huku nikisoma kitabu taratibu.
Ni swala la muda tuu, muda ukifika wala hutopata shida kila kitu kitaenda kwa kutiririka.
 
kuoa na kukabidhi no vitu viwili tofauti..... wachache ndio tunajua kupembua hii issue....

unaishi na MTU km ninja..... dadek.

ataambulia ugali tu
 
Nitakuwa tayari kuuza uhuru wangu sio?
Kabisa tena utatamani wa kukubana na kukuongoza kama mtoto hali ya kuwa ni mtu mzima na akili zako,

Uko na pesa ya kutosha unauwezo wa kula chochote kwa gharama yoyote lakini kuna kitu utamiss tuu.

Kuna muda haupo sawa labda kuna mambo yanakusumbua utatamani awepo mtu wa kushare nae hiyo hali, how do you feel pale unapomwelezea mtu tatizo lako unakuta analia kwa ajili yako ,the same kwenye happy moment. Kuna feelings ambazo zitakupelekea tuu utamani kuoa na kuona uhuru ni nothing kwako.

Omba Mungu umpate huyo soul mate wako tofauti na hapo utatamani kuwa single maisha yako yote.
 
Nimmekusoma Mrs Bright
 
Back
Top Bottom