wanawake ni viumbe ambao hawaeleweki wanataka na hawataki nini pamoja na kua mama zetu na dada zetu lakini hamna kituKwanini huwazi kuoa?
Kukabidhiwa, hivi unaelewa kuwa wale waliokabidhiwa bendera mara nyingi wanakuwa nyumbani ili kusikiliza matatizo mbali mbali wa wananchi wao[emoji15] mbali ya hivyo kuna kupandisha alfajiri na kushusha jioni[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]Kukabidhiwa au kukabidhi?
Una watoto au unasubiri wa kwenye ndoa? Ukiwafuata shule wanzao wanaweza sema babu yenu anawasubiri.nina miaka 50 ya kuzaliwa sijawaza kuoa labda hadi nifiki 60 ndio nitaharibu.
ninao.Una watoto au unasubiri wa kwenye ndoa?
unaona shida gani kushare maisha yako na mtu mwingine?Mkeka? Bado sana.
nitatafuta wa kumalizia nae maisha ya duniani le mubebiz mkareeezDuh ukifika 60s kuna kuoa tena? Labda kwa aliefiwa/mtalaka na amezoea kuishi na mke
nimesema tu mkuuNimeshindikana kivipi? Haya ni mawazo ya Jumapili tu...
tunajadili tu mada mkuu sidhani kama nimekukosea.swali gani hili sasa. ya wazazi yanafikaje huku
uhuru gani kwa mfano? maisha yapo vile unataka yawe mkuuNajiuliza nitaweza kukabidhi uhuru wangu?
Khaaa[emoji15] [emoji15] [emoji15]nina miaka 50 ya kuzaliwa sijawaza kuoa labda hadi nifiki 60 ndio nitaharibu.