Mliooa mnastahili pongezi

Mliooa mnastahili pongezi

Unapata dem leo,after 3 months ushamuweka ndani. Huo ni uoga. Komaa kwanza kijana.
 
Mkuu hujui kuwa mke ni zaidi ya ndugu kwako, kwanini unahesabu zaidi mali, Mbona ukioa mke anakukabidhi maisha yake. Nahisi maisha ya mke na muda wake vina thamani kuliko mali unazozitaja.

Mke ni adui unayelala naye kitanda kimoja. Siku akiamua kukuonyesha kazi ndipo utakapojua kwamba mke si nduguyo. Ishi naye kwa akili
 
Sawa mkuu hamna noma we subiri subiri kwanza maana maisha yenyewe magumu kinyama yaan
 
acha ubinafsi wewe, mwanamke kwani hana uhuru wake atakaoutoa kwako?
kwanza unaweza kuja kuoa mwanamke akakuzidi kila kitu mali,pesa,elimu,uzuri na akili yaani unamkuta mwanamke yuko vizuri kukushinda
That will never happen.
 
Kwa zama hizi kuoa ni kama kuvaa mabomu na kwenda kujitoa muhanga ukitegemea kwenda peponi!
 
Back
Top Bottom