Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 28,027
- 52,500
yaani unawaza tu jinsi mkeo atakavokufaidi.kwani wewe hutomfaidi?Mchoyo kivipi?
yaani unawaza tu jinsi mkeo atakavokufaidi.kwani wewe hutomfaidi?Mchoyo kivipi?
hii ni yangu ama?Ukiona unanyimwa just know u dont deserve!
Pesa zitakupa comfort zikiwepo but unconditional love is until death do us apartMimi sina hela nikiwa nazo nitajua....I guess unaweza kupata comfort.
Sijaelewasijapata wakunipenda na mimi nikampenda. yaani sijawai kupata mtu ambae yupo directly proportional na mimi nakutana na inversely proportional umeelewa?
Hauwezi kunifikia.Nakuzidi wewe ubinafsi?
karibu kuku kwanza ndo utaelewaSijaelewa
Uhuru wa kuchepuka au?Sijasema sitaki kuoa, ila ni uamuzi mgumu. Kuuza uhuru si kitu kidogo!