Lizarazu
JF-Expert Member
- Aug 23, 2015
- 6,331
- 7,885
Wala hata usiwe na hofu swahiba... Nataka niwe nakutembelea kila nikikumiss na sitaki unichokeYo welcome my broda.... Hiyo tayari veeepe
Wala hata usiwe na hofu swahiba... Nataka niwe nakutembelea kila nikikumiss na sitaki unichokeYo welcome my broda.... Hiyo tayari veeepe
kwa hiyo mume ni mfugaji wa binaadam!?Mjomba unataka kumkabidhi mtu maisha yako? Wanaume tunakabidhiwaga maisha ya wake zetu na watoto wetu tuyaangalie lakini kamwe mwanaume hatafuti mtu ampe maisha yake alelewe.
Usiku mwema jombakwa hiyo mume ni mfugaji wa binaadam!?
Hapo sawa kabisa hata mimi ningeshangaa.Naanzaje kukuchoka kwa mfano
Mungu ni mwaminifu kwa kweli nimeamka salama tayari kwa mchakamchaka wa wiki nzima!!!!Hapo sawa kabisa hata mimi ningeshangaa.
Habari za hasubui binti sakayo?
Asante kwa kutupongeza,ni maandiko ya Mungu ndio yanatuongoza mkuu ,Mwanzo 2:24(Kwahiyo mwanamume atamuacha baba yake na mama yake ataambatana na mkewe,nao watakuwa mwili mmoja),kwahiyo unakuwa huna hofu,chako kinakuwa chake na chake kinakuwa chako..Habari za Jumapili.
Napenda kutoa pongezi kwa wwanaume wenzangu mliooa. Kuamua kuoa si jambo rahisi hasa ukifikiria unakabidhi UHURU na MALI ZAKO kwa mtu ambae huna undugu nae!!
Mawazo kama haya huwa yananijia Jumapili ambayo ni siku ninayofurahia sana wiki nzima. Jumapili njema jamani mimi nasikiliza Easy Sunday Clouds Fm huku nikisoma kitabu taratibu.
Amen...Asante kwa kutupongeza,ni maandiko ya Mungu ndio yanatuongoza mkuu ,Mwanzo 2:24(Kwahiyo mwanamume atamuacha baba yake na mama yake ataambatana na mkewe,nao watakuwa mwili mmoja),kwahiyo unakuwa huna hofu,chako kinakuwa chake na chake kinakuwa chako..
Upo unatafuna tutoto TWA watu baadae utuache? Mungu anakuonaBado kidogo....
JamaaniWivu sina ila roho inaniuma....
there is offcourse ila kwanini uache kufanya kitu kwa sababu wengine wameshindwa.wewe sio wao kumbuka
last year my sis alianza ivf procedure kupata mtoto .she is 46 now.story ni nyingi success rate ni ndogo sana .lakini akaniambia mdogo wangu miss lazima nifanye hichi kitu .just imagine alikuwa amebakiwa na mayai matano.yakarutubishwa yote yakabaki matatu then mimba akabaki mtoto mmoja.walipandikizwa wamama 20 wakabeba mimba 8 wakazaa wanne.
our baby is 3 month now very healthy uje umuone.
toka hapo nimejifunza kutoangalia kushindwa kitu kwa wengine aisee.kila mtu ana destiny yake hapa duniani na mipangilio yake.
Kweli mkuuKuoa ni mpango wa Mungu na huwa unakuja automatically hautalazimishwa na mtu ukiona unasita kufanya maamuzi ya kuoa jua Mungu bado hajapanga
Mke kwa mtazamo wangu mm ni jiran.... nipo tayar kutetea hojaMkeo sio ndugu yako.
Hujampata tu wa kufafanana wewe.wanawake ni viumbe ambao hawaeleweki wanataka na hawataki nini pamoja na kua mama zetu na dada zetu lakini hamna kitu
Basi ni vizuri kama wiki yako imeanza poa, bila shaka kila kilichopangwa kimeenda vizuri.Mungu ni mwaminifu kwa kweli nimeamka salama tayari kwa mchakamchaka wa wiki nzima!!!!
Vipi wewe hali yako
Nimecheka sana mkuu!!.Wivu sina ila roho inaniuma....