Mliooa mnastahili pongezi

Mliooa mnastahili pongezi

Mimi kama mwenyekiti wa mabachelor katika kata ndogondogo za jijini, natoa rai kwa wanachama wote wajitokeze kumuombea huyu mwenzetu.
Maana mara nyingi wanaosemaga hivi, huwa wapo karibu kutumbukia kwenye hukohuko kwa ndoa. Karibu atapotea ndugu yetu.
Nawasilisha.
Duh hii kali..
 
Mimi kama mwenyekiti wa mabachelor katika kata ndogondogo za jijini, natoa rai kwa wanachama wote wajitokeze kumuombea huyu mwenzetu.
Maana mara nyingi wanaosemaga hivi, huwa wapo karibu kutumbukia kwenye hukohuko kwa ndoa. Karibu atapotea ndugu yetu.
Nawasilisha.
Tunaelekea kumpoteza kwenye chama.
Mheshimiwa Mwenyekiti kesho tuitishe kikao cha dharula
 
Basi ni vizuri kama wiki yako imeanza poa, bila shaka kila kilichopangwa kimeenda vizuri.

Hali yangu si mbaya bibie!
Nafurahi kusikia u mzima Kakangu

Uzidi kubarikiwa, na wiki yako iwe ya mafanikio
 
Congrats to her jamani! Ni kweli kabisa kila Mtu Ana namna yake na njia yake ya kupita ktk safari hii ya maisha,kuangalia wenzio Kwaweza sababisha ukaona Giza totoro mbele na haimaanishi kushindwa Kwa mwenzio ndiyo kushindwa kwako!cha muhimu ni kuamini na kusonga mbele!
thanks dera ulete pampas .tunatumia huggies
 
Wakati sahihi ukifika, hutaona ugumu wala kujiuliza maswali yasiyo na majibu. Hold on hadi mda ufike, then ukutane na mtu ambaye hutotamani kuwa nae mbali.
Mi naona ukikutana na mtu ambaye hutotamani kuwa nae mbali ndo mwanzo wa matatizo. Maana, kuna siku tu atakuwa mbali. Guaranteed
 
Tunaelekea kumpoteza kwenye chama.
Mheshimiwa Mwenyekiti kesho tuitishe kikao cha dharula
Nashukuru kwa mchango wako wa busara.
Nitaitisha.
Kwa maana kuna wengi baada ya kusema tu maneno kama haya, tukawapoteza.
Sijui ndo wanaichokoza mizimu ya ndoa.?
 
Mwenyekiti inawezekana si mawazo yake ila anashawishiwa na Watu wasiokitakia mema chama chetu.

Tumhoji kwa utulivu ili tujue wabaya wetu
Ni kweli kabisa.
Nahisi atakuwa anakiuka katiba ya chama, kile kipengele cha mahusiano ya nje, ibara ya sita ya kwamba asichanganyikane na walio katika ndoa.
 
acha ubinafsi wewe, mwanamke kwani hana uhuru wake atakaoutoa kwako?
kwanza unaweza kuja kuoa mwanamke akakuzidi kila kitu mali,pesa,elimu,uzuri na akili yaani unamkuta mwanamke yuko vizuri kukushinda
 
1a489a2736d23623378c336e025ec160.jpg
 
sijapata wakunipenda na mimi nikampenda. yaani sijawai kupata mtu ambae yupo directly proportional na mimi nakutana na inversely proportional umeelewa?
Sisi wahenga tunasema unakutana na kitu inaitwa one side relationship yn li mtu linakupenda ila hata ujali alf unapopenda wewe unakuwa hueleweki

Sema mapenzi ni safari
 
Wanaokimbilia kuoa wote ni waoga wa kuachwa na madem zao. Kifupi hawajiamini.[/QUOT

Mkuu hata baba ako alikuwaga muoga akawahi kuoa ili apate mtoto muoga kama wewe samahan lakin hapo umetuaibisha wanaume
 
Back
Top Bottom