Castr
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 32,009
- 64,053
Niajiri nikulindie. Nakua shamba boy mchana usiku mlinziKila mtu ni mlinzi katika hali moja au nyingine. Mie nina mifugo nyumbani kwangu yaani mbwa akibweka tu naangalia CCTV camera kujiridhisha kama hamna wezi. Yaani kila siku lazima niamke mara nne au tano kuangalia picha la nje
Imekuwa mateso sana kwangu. Nalala usingizi wa mang'amung'amu maana nilishawahi kuibiwa broilers kibao niakaona isiwe tabu niweke CCTV. Ni mateso