Mlinzi wa shule alinilaani, nami nimekuwa mlinzi

Babu yangu aliniambiaga kila fani mtu huzaliwa nayo.....Nmegundua umezaliwa na fani ya uongo.....Mlinzi 800k kwa mwezi acha kamba...Me naprofishono yangu ya sayans napiga serkalin mwka wa tano sijafikisha hiyo....!
bangi ya wapi hiyo mjomba umevuta
 
Hebu kaa kimya ndugu.
Usikariri, hiyo professional yako inategemea umeajiriwa kwa level gani na upo ofisi gani.
Yawezekana huko ukilipwa mshahara imetoka, huku walinzi tuna overtime, night allowance na rent allowance.
Ila haina haja ya kubishana, just nilikuwa nashare my short story. Hata usipoamini hunipunguzii wala kuniongezea kitu
 
Babu yangu aliniambiaga kila fani mtu huzaliwa nayo.....Nmegundua umezaliwa na fani ya uongo.....Mlinzi 800k kwa mwezi acha kamba...Me naprofishono yangu ya sayans napiga serkalin mwka wa tano sijafikisha hiyo....!
bangi ya wapi hiyo mjomba umevuta
Sayans ipi? Labda mwalimu

komesha korona
 
Babu yangu aliniambiaga kila fani mtu huzaliwa nayo.....Nmegundua umezaliwa na fani ya uongo.....Mlinzi 800k kwa mwezi acha kamba...Me naprofishono yangu ya sayans napiga serkalin mwka wa tano sijafikisha hiyo....!
bangi ya wapi hiyo mjomba umevuta
Mkuu hakuna askari polisi, magereza au jeshi anayefikisha 800k ukichanganya mshahara na ile posho yao?
 
Ilikuwa 2012 nikiwa kidato cha tano katika shule moja ya serikali hapa nchini. Ile shule ilikuwa ya boarding. Siku moja wakati natoka kwenye kipindi cha dini saa 2 usiku nilipopita getini na wenzangu 2 tukielekea mabwenini nikamuuliza mlinzi maswali ambayo yalimkwaza. Moja ya maswali hayo nilimuuliza analipwa sh.ngapi?

Aisee dunia duara, nami sasa ni mlinzi. Naweza kumtafuta yule mtu nimwombe msamaha. Sina hali ngumu sana ya maisha ila naichukia sana hii kazi. Nalipwa kama 800k hivi, nimeajiriwa permanent na taasisi moja hivi ya serikali tangu 2015.

Mwaka huu namaliza shahada yangu ya kwanza but daaah naona hii kazi inaendelea kuniganda. Wife na ndugu zangu wengi hawajui kuwa mimi ni mlinzi.

Nimejenga kijumba kidogo kwa mkopo, yaani daaah naificha sana title yangu.
utakuwa mlinzi wa auxiliary police wa vyuo vikuu usijali maliza degree yako unaweza ukabadilisha fani
 
Labda hujanielewa.
Nimesema mshahara uko chini ya laki nane but nikikusanya na malipo mengine inakuja hiyo 800k na visenti kidogo.
Sema tu salary slip hazionyeshi title ningekutumia pm uione.
Muulize mtu wa hazina yeyote atakuambia.
Kuna wazee hapa walinzi wanakula ndefu zaidi ya hapo.
Hahahahh nimekuelewa Sasa Mkuu na hata huo ulinzi unaozungumzia nimeupata
Nenda tuu kwa mlinzi wako wa shule umwambie we ni mwenzako. Alaf umtoe toe mtonyo kaka
 
Back
Top Bottom