Mkoa wa Lindi maisha gharama sana

Mkoa wa Lindi maisha gharama sana

Lindi ni mji ambao bado haujaharibiwa na vurugu za wanadamu.
Bado kidooogo muda sio mrefu lounge, pub zitakua za kumwaga mashekhe watabomoa misikiti hapa msikiti pale lounge pale kuna lodge kuna mtaa fulani kutakua na guest na lodge nyingi sana
 
Sema Lindi bana nilikuwa nikifika tuu.

Nalenga kwa mama yoyoo flani.

Ilikuwa burdaaaaan sana.
 
Sijui kwanini hawatakagi kuumega huo mkoa kusogeza maendeleo.
Kwanini wasimege kidogo Morogoro, Pwani, Mtwara na Ruvuma papatikane mkoa kuharakisha maendeleo.
Lindi ki jiografia ni kubwa sana kuliko Mtwara, Pwani, Ruvuma a Morogoro.
Morogoro ni kubwa kuliko Lindi,
Serikali za Mkoa na Wilaya wala haziharikishi maendeleo. Mkoa kuwa mdogo au mkubwa hakuna athari yoyote kwenye maendeleo yake.
 
Ni kweli Morogoro kubwa kuliko Lindi, kwa KM² chache sana.

Kuhusu maendeleo, jiografia inaathiri huduma za maendeleo kwa wananchi. Katavi ilipomegwa kutoka Rukwa, Sasa hivi Katavi inakimbia. Ndicho kinachotaka kufanyika Geita na Kagera na Kigoma kumegwa kuwa mkoa wa Chato. Maendeleo ni Mipango bwashee
 
Mkuu wa mkoa(RC) na Wilaya(DC) hakuna chochote kikubwa wanachofanya katika kuletea watu maendeleo, hao ni wanasiasa tu na wapiga debe wa kulinda maslahi ya rais. Wenye mchango katika kuleta maendeleo ya watu na kushugulikia mambo muhimu ya raia ni Halmashauri na Wizara.
 
Mkuu wa mkoa(RC) na Wilaya(DC) hakuna chochote kikubwa wanachofanya katika kuletea watu maendeleo, hao ni wanasiasa tu wa kulinda maslahi ya rais, wenye mchango katika kuleta maendeleo ya watu na kushugulikia mambo muhimu ya raia ni Halmashauri na Wizara.

Mimi sijawazungumzia hao, nimezungumzia kurahisisha huduma na mipango ya maendeleo. Hao sio wanaoleta maendeleo. Kama unakubali halmashauri na wizara ndio husimamia maendeleo basi, mjadala huu umeisha. 😁
 
Ni kweli Morogoro kubwa kuliko Lindi, kwa KM² chache sana.

Kuhusu maendeleo, jiografia inaathiri huduma za maendeleo kwa wananchi. Katavi ilipomegwa kutoka Rukwa, Sasa hivi Katavi inakimbia. Ndicho kinachotaka kufanyika Geita na Kagera na Kigoma kumegwa kuwa mkoa wa Chato. Maendeleo ni Mipango bwashee
Kumega mkoa hakusaidii chochote, kunaongeza tu ulaji kwa wachache na gharama kwa walipa kodi wengi. Maendeleo ya Katavi ya kawaida sana kama sehemu nyingine zozote zile Tanzania, hakuna kukimbia wala nini, nafikiri tuna standards ndogo sana za maendeleo.
 
Mimi sijawazungumzia hao, nimezungumzia kurahisisha huduma na mipango ya maendeleo. Hao sio wanaoleta maendeleo. Kama unakubali halmashauri na wizara ndio husimamia maendeleo basi, mjadala huu umeisha. 😁
Ni huduma gani raia wa kawaida wanapata katika Ofisi za mkuu wa mkoa au wilaya?
 
Back
Top Bottom