Mkoa wa Lindi maisha gharama sana

Mkoa wa Lindi maisha gharama sana

Oya Lindi nikalale wapi? Pasiwe pamoto bei.
Nenda kkoo pale lindi secondary, kule bwenini utalala free boat hutolipa hata mia.

Ukiwa mjanja hata ugali utakula.

Pale kuna majamaa yalishaga maliza shule miaka mingii iliyopita ila bado yanaishi pale pale bwenini.

Asubuhi likiamka, wakati nyie wanafunzi mnaenda darasani lenyewe linaingia mtaani kutafuta.

Mengine yanalima mchicha, mengine ni mavuvi.
 
😀😀Dah mkuu umenikumbusha Moshi technical watu kama hao walikuepo.
 
Niliwahi kaa Isanga kule, kitimoto ya buku mbili jero nilikuwa simalizi. Nyama kibao, ndizi kibao.
Mbeya ukiwa na buku jero unapata wali maharage wa kushiba.
Matunda ya jero. Parachichi ya mia tatu, ndizi mbivu mia mbili nne.
Unatoboa mchana.
Mbeya mwaka fulani tuliwahi nunua mazaga mpaka yakaharibikia ndani kwa 10k tu .....mbeya ni green city kweli
 
mambo ya kisenge sana haya.
Masasi, Liwale na Nachingwea unaweza kununua vitu bei chini zaidi kuliko Lindi mjini huku Lindi mjini ni Karibu sana na Dar es salaam panapotoka bidhaa . Vitu vinapita hapo na kwenda kuuzwa cheap miji ya mbele
 
Unafananisha na mkoa gani bosi? Me naishi kigamboni, huku pweza wa elfu tano huwezi kula na familia lkn pweza wa elfu 5 Lindi ni wakutosha.

The same Kwa samaki kama vibua, changu, tasi n.k pale kariakoo Lindi ni wa kuzoa kama somanga tuu. Kwangu mm ni cheap sana ukilinganisha na feri au Kigamboni nakoishi
Lindi naifananisha na mikoa ambayo huwa tunaaminishwa ina masikini wakutupwa Dodoma, Singida, Tabora na Simiyu.

Hii si ndo Lindi yenu? Nimeenda na kila kitu nilitoka nacho Dar mpaka mafuta ya kula ushangae
 
Attachments

  • Screenshot_20260427_072417_Gallery.jpg
    Screenshot_20260427_072417_Gallery.jpg
    347.1 KB · Views: 11
Bei zavitu zimepanda kote mwez huu beverage ziko juu hata hapa dar maji yajero saiv TSH 600 hio soda sehem nying nibei hio ila samak lindi uhakika mi napajua vizur ila inategemea nabamvua kule kibua wabuku unakula unaenjoy
Tuliozoea migebhuka wa Tanganyika, ukinitajia vibua nafarijka unakuwa umenifikisha nyumbani.

Maana napowatafuna vibua huhisi kama nakula zangu gebhuka.
 
Oya Lindi nikalale wapi? Pasiwe pamoto bei.
lindi aisee lodge za 25000 ni kawaida sana ni lodge ambazo kwa masasi unalala kwa 15000....lindi kidogo upate sehemu safi whitesand na brenford hizo kuanzia 50000 nahisi kama uko vzr..ila za 25k lindi ni za kawaida kbs
 
Nimepata ya 50k ya kawaida kinoma. Inaitwa Baraka sijui.
 
Hivi hizi bei nyie mnazipata wapi?
Au Lindi mnayoijua ninyi sio tunayoijua sisi?

Lindi hadi ndizi ni gharama vibaya sana hao Samaki unaweza kukaa mwezi mzima hujawala kama mshahara wako ni 700k

Embu niambie wapi nitapata hao Ngisi kwa 10k niwafate leo naishi Hospital ya mkoa hapa
Wewe unaishi huko ndiomaana unaona bei kubwa, sisi wapita njia tukilinganisha na maeneo mengine ambayo yanatoa samaki LINDI NI NAFUU MNO.
 
Back
Top Bottom